Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mimi ni wakala na nina laini za uwakala za mitandao yote: Tigo, Voda, Halotel, na Airtel. Sasa, kwenye hizi laini, Airtel ndiyo wanaongoza kwa kunipa kamisheni kubwa. Hii ni kwa sababu huku kwetu...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari wana jukwaa. Natangaza huduma ya mtandao majumbani na maofisini kwa vifurushi nafuu kabisa. Huduma hii itaanza kuanzia mwezi wa 10 mwishoni mara tu baaada ya kukamilisha vibali vya...
3 Reactions
64 Replies
3K Views
Wadau naomba ushauri nifanye biashara gani ambayo haihitaji usimamizi kuanzia saa 2 asubuhi napoingia kazini mpaka saa 11 jioni
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Now days wafanya biashara wamekuja na mbinu mpya za kuuza bidhaa zao, wanakopesha the. Unalipa kdg kdg kwanzia pikipiki, bajaji simu nk, Sasa kwa anaejua wanapokopesha fridge au tv anipe location...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu poleni na purukushani za kujitafutia mkate wa kila siku. Kwa mwenye kufahamu wapi nikifungua biashara tajwa hapo juu naweza kupata mzunguko mzuri? Tafadhari share nami location nikapambane...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nauliza kwa hapa Dar ni wapi naweza kununua water pump used za kutumia mafuta. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari, mimi ni kijana na nimeamua kuanzisha kiwanda kidogo cha mikate. Je, ni hatua zipi natakiwa nianze?
1 Reactions
0 Replies
801 Views
JUHUDI ZA RICHARD ZA KUKUZA BIASHARA NCHINI TANZANIA ZINATOA MATUNDA. Tarehe; 12 Septemba 2023 Mahali; ARUSHA Katika hatua ya kusisimua kwa jamii ya biashara ya Tanzania, David Richard...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wapendwa Naomba msaada wa haraka kuhusu usajili wa jina la biashara BRELA Nilifanya usajilin wa jina la biashara lakini kuna baadhi ya taarifa zilipelea hivyo kutakiwa...
1 Reactions
1 Replies
684 Views
Tupo kwenye maandalizi ya msimu mkubwa wa zao la korosho hasa kwa wananchi wa mikoa ya kusini, ni ukweli usiopingika kuwa korosho ni zao kubwa kwa wananchi wa kusini na Tanzania kiujumla, athari...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari zenu wana jamvi, Naamini kabisa wapo wanajanvi waofanya biashara ya dhahabu, wananunua na kwenda kuuza Nje ya Nchi yetu ya Tanzania. Napenda sana kufanya hii biashara ila tatizo nikukosa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza ushirikiano wa kibiashara baina ya Tanzania na Indonesia na Balozi wa Indonesia...
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Salaams wana jamvi. Mimi ni mdau wa miaka mingi humu ila sio mara nyingi kuwa active lakini huwa napitia sana baadhi ya thread zinazohusu biashara na ujasiriamali. Mimi naishi maeneo ya Kitunda...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Nchi hii foregners hawa wana make sana pesa asikuambie mtu, usiwachukulie poa sana hawa jamaa. Mfano kwa Arusha nimekutana na Foreigners wana make pesa kwenye vitu ambavyo tungepwaswa sisi...
48 Reactions
69 Replies
7K Views
Habari mawinga wa kkoo kama title inavyojieleza hapo juu. Nina wazo nikajisemea sio mbaya nije kula na mawinga wa koo tuone tunapataje pesa kwa machimbo ya kkoo ambayo yamekuwa yanakonga vichwa...
6 Reactions
48 Replies
7K Views
Nawaza Hapa, 1. Hivi mwanaume unapata wapi ujasili kucheza kikoba Kama wanawake? Lengo lako Ni Nini hasa? Unajiskiaje kwa mfano. 2. Tena wengine utashangaa kabisa, anakuaga hadharani mwanaume...
34 Reactions
351 Replies
19K Views
Kuna mtu limekuja office leo linadai limetumwa sijui na mkurugenzi uko serikalini kuchukua record za watu na biashara zao to do God knows what? Jamani hawa watu sijui TRA, Serikali wananichefua...
0 Reactions
3 Replies
509 Views
Naombeni msaada namna ya kuwapata ABC bank makao makuu kwa sababu nahisi nimeshatapeliwa na hawa vijana wao Wa huku wilayani nimeomba mkopo mda na makato yao yanafanyika Ila pesa niliyoomba hawajatoa
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Unguja. Tarehe 10 Septemba 2023: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuanzisha huduma za kibenki zinazofuata...
1 Reactions
7 Replies
931 Views
MBUNGE AISHA ULENGE KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE NA MANUNUZI YA UMMA NA FURSA ZA KIBIASHARA KWENYE BOMBA LA MAFUTA Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Aisha N. Ulenge ameshiriki...
0 Reactions
0 Replies
485 Views
Back
Top Bottom