Winga wa Kariakoo pitia hapa kuna mchongo pesa!

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
795
656
Habari mawinga wa kkoo kama title inavyojieleza hapo juu.

Nina wazo nikajisemea sio mbaya nije kula na mawinga wa koo tuone tunapataje pesa kwa machimbo ya kkoo ambayo yamekuwa yanakonga vichwa kwa wafanyabiashara tulio wengi.

Biashara ili upate faida kubwa machimbo ni kitu ambacho huwezi kwepa kama unataka kukuza mtaji wako wa biashara.

Nimeona dada mmoja insta ana group lake la telegram ambapo kila member anayetaka machimbo analipia 15k kwa miezi 3 plus ananunua kitabu cha machimbo ya kkoo kwa 10k. Jumla member analipia 25k.

Sasa nikaona kama ni fursa nzuri nikaja kwa mfumo wa app au website ambayo winga atapost tangazo la chimbo lenye full info na mfanyabiashara atalipia ili apate namba ya simu na location ya duka.

Mimi mwenye natamani kujua machimbo mengi zaidi ya DUVET, VITENGE, MASHUKA NA MAPAZIA. Yawe mazuri ila bei iwe kitonga..

Uhitaji wa machimbo ni mkubwa sana kila siku watu wanafungua biashara ila machimbo mtihani.

So nini kifanyike ili tuweze kupata hii fursa na kupata pesa kutokana na machimbo.

Binafsi nimefikiria niwe na mawinga 10 au 20 ambayo kazi yao ni kupost machimbo ya bidhaa mbalimbali za kkoo. Pia kila winga ningependa atoe mchango wake ili tufanikishe app na website.

Madharan wamepatikana winga 10, kila mmoja atachangia 100k, hii pesa itatumika kutengeneza website na kupakia online bila kusajili ofisi . Tutaanza local kwanza ila kama watapatikana winga 20 tutasajil ofisi na ku integrate online payment ili iwe rahisi kwa wateja kununua machimbo oline bila kuwa na msaidizi wa ku active muamala kwenye akaunti za wateja.

Ila kama watapatikana winga 10 wenye uwezo wa kutoa 200k kila mmoja itakuwa unyama sana kozi tutasajili jina la biashara na ku integrate payment methods kwenye mitandao yote ya simu ili tuwe tunaingiza pesa wakati tumelala.

Kuhusu malipo ya mawinga:

Kila winga atapata 60% kwa kila muamala ya chimbo 1 ambalo kaweka kwenye app au website. Malipo yatafanyika kila mwezi(30 days).

Winga 10 au 20 itakuwa kama team kwaiyo mfumo hautaruhusu mtu mwingine ajiunge kama winga bali mteja wa machimbo ili mchango wenu uwe na maana na uwanufaishe nyinyi tu na wafanyabiashara ambayo wanatafuta machimbo kila leo.

****************************

Kila chimbo litakuwa linauzwa 6k. Na taarifa za chimbo ziwe ni sahihi na za uwakika ili tusipate dosali ya kuonekana matapel bali tuwe msaada kwa wafanyabiashara wapya wanaotafuta machimbo ya kkoo na kutimiza ndoto zaidi.

Kama tutaweza kwenda sawa kimaslahi walai tutakuwa tumefanya kitu kikubwa sana kwenye nchi hii kwa kutatua changamoto ya wafanyabiasha wengi zaidi na kutimiza ndoto zao.

Kama tukiweza ili basi pesa ni halali kutufuata kwasababu tumesolve tatizo la watu wengi kwa uwaminifu mkubwa.

"Ukitaka upate kila kitu kwenye maisha, saidia watu wengi kutimiza ndoto zao au malengo yao". Pesa lazima ikufuate buda...

Siku zote natamani kusolve changamoto ambayo watu wengi wanapata tabu, kwa hili naomba mnisapot tufaidie wote kwa pamoja na kujivunia kwa kusaidia wafanyabiashara kutimia malengo yako bila kutapeliwa mtandaoni.

Kipi kinatuzuia kama wote ni watanzania ? Lugha moja Nchi moja , lets do it....

***********

Kama wewe ni winga lazima uwe na machimbo 10 au zaidi ili ujiunge na hii race ya kusolve tatizo la wafanyabiashara wanaonunua bidhaa kkoo.

Anza kuingiza pesa kupitia SMARTPHONE!.

Winga needed 10 au 20.

Piga simu namba hii 0755429928. Nipo DAR ,

"Actions speak louder than WORDS"

Tukutane kkoo 📢
 
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baada yakuona thread Yako. Mizigo yako inafika ndani ya siku 3-5 tangu kuagiza Kwako Kwa njia ya ndege

Ningependa kukupa fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar kupitia FAGO EXPRESS

Unaeza agiza nasi hatakama huna pesa kamili sisi tukanunua Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo..

Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations. Karibu sana chief WhatsApp+255765018958

Tuko kariakoo Msimbazi B karibu na kituo cha polisi.
 
Hawa ni miongoni wanatafuta machimbo ya kkoo. 😥
 
Attachments

  • Screenshot_2023-07-13_191209.jpg
    Screenshot_2023-07-13_191209.jpg
    65.6 KB · Views: 48
  • Screenshot_2023-07-13_191421.jpg
    Screenshot_2023-07-13_191421.jpg
    74.1 KB · Views: 43
  • Screenshot_2023-07-13_190525.jpg
    Screenshot_2023-07-13_190525.jpg
    70.3 KB · Views: 36
  • Screenshot_2023-07-13_191408.jpg
    Screenshot_2023-07-13_191408.jpg
    92.6 KB · Views: 43
  • Screenshot_2023-07-13_191318.jpg
    Screenshot_2023-07-13_191318.jpg
    72.9 KB · Views: 41
  • Screenshot_2023-07-13_191248.jpg
    Screenshot_2023-07-13_191248.jpg
    78.2 KB · Views: 38
  • Screenshot_2023-07-13_190902.jpg
    Screenshot_2023-07-13_190902.jpg
    76.1 KB · Views: 39
  • Screenshot_2023-07-13_191603.jpg
    Screenshot_2023-07-13_191603.jpg
    75.3 KB · Views: 33
  • Screenshot_2023-07-13_190734.jpg
    Screenshot_2023-07-13_190734.jpg
    111.2 KB · Views: 46
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baada yakuona thread Yako. Mizigo yako inafika ndani ya siku 3-5 tangu kuagiza Kwako Kwa njia ya ndege

Ningependa kukupa fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar kupitia FAGO EXPRESS

Unaeza agiza nasi hatakama huna pesa kamili sisi tukanunua Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo..

Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations. Karibu sana chief WhatsApp+255765018958

Tuko kariakoo Msimbazi B karibu na kituo cha polisi.
Ofisi yenu iko official?
 
Kariakoo siku hizi panaitwa DP World Kariakoo.

Mizigo yao wantaka toka inapotoka ipakiwe kontena za DP World mpaka inashushwa kariakoo.

Wafanyabiashara wa Kariakoo hawataki tena ujinga ujinga wa kucheleweshewa mizigo Kariakoo.
 
Karibu Madam FaizaFoxy
Ningependa kukupa fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar kupitia FAGO EXPRESS

Unaeza agiza nasi hatakama huna pesa kamili sisi tukanunua Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo..

Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations. Karibu sana chief WhatsApp+255765018958
 
Karibu Madam FaizaFoxy
Ningependa kukupa fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar kupitia FAGO EXPRESS

Unaeza agiza nasi hatakama huna pesa kamili sisi tukanunua Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo..

Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations. Karibu sana chief WhatsApp+255765018958
Ahsante kwa kunifahamisha nikihitaji bidhaa huko, ntawatafuta, Na save namba zenu kwenye simu yangu.

Nawatakia kila la heri na kazi njema.
 
Hii idea imenyooka

Kwa maoni :
Gharama za website hapo ndo naona kidogo zinasoma kilomita , 100K inatosha kufugua website

Watu 20 au 10 Kila mmoja angechangia ya kuanzia 20K pamoja na kulipia mabango/ads then baada ya mwezi kama mwanga utaoneka ndo vibunda viongezwe kuchukua Ofisi

Ni mtazamo tu
 
Habari mawinga wa kkoo kama title inavyojieleza hapo juu.

Nina wazo nikajisemea sio mbaya nije kula na mawinga wa koo tuone tunapataje pesa kwa machimbo ya kkoo ambayo yamekuwa yanakonga vichwa kwa wafanyabiashara tulio wengi.

Biashara ili upate faida kubwa machimbo ni kitu ambacho huwezi kwepa kama unataka kukuza mtaji wako wa biashara.

Nimeona dada mmoja insta ana group lake la telegram ambapo kila member anayetaka machimbo analipia 15k kwa miezi 3 plus ananunua kitabu cha machimbo ya kkoo kwa 10k. Jumla member analipia 25k.

Sasa nikaona kama ni fursa nzuri nikaja kwa mfumo wa app au website ambayo winga atapost tangazo la chimbo lenye full info na mfanyabiashara atalipia ili apate namba ya simu na location ya duka.

Mimi mwenye natamani kujua machimbo mengi zaidi ya DUVET, VITENGE, MASHUKA NA MAPAZIA. Yawe mazuri ila bei iwe kitonga..

Uhitaji wa machimbo ni mkubwa sana kila siku watu wanafungua biashara ila machimbo mtihani.

So nini kifanyike ili tuweze kupata hii fursa na kupata pesa kutokana na machimbo.

Binafsi nimefikiria niwe na mawinga 10 au 20 ambayo kazi yao ni kupost machimbo ya bidhaa mbalimbali za kkoo. Pia kila winga ningependa atoe mchango wake ili tufanikishe app na website.

Madharan wamepatikana winga 10, kila mmoja atachangia 100k, hii pesa itatumika kutengeneza website na kupakia online bila kusajili ofisi . Tutaanza local kwanza ila kama watapatikana winga 20 tutasajil ofisi na ku integrate online payment ili iwe rahisi kwa wateja kununua machimbo oline bila kuwa na msaidizi wa ku active muamala kwenye akaunti za wateja.

Ila kama watapatikana winga 10 wenye uwezo wa kutoa 200k kila mmoja itakuwa unyama sana kozi tutasajili jina la biashara na ku integrate payment methods kwenye mitandao yote ya simu ili tuwe tunaingiza pesa wakati tumelala.

Kuhusu malipo ya mawinga:

Kila winga atapata 60% kwa kila muamala ya chimbo 1 ambalo kaweka kwenye app au website. Malipo yatafanyika kila mwezi(30 days).

Winga 10 au 20 itakuwa kama team kwaiyo mfumo hautaruhusu mtu mwingine ajiunge kama winga bali mteja wa machimbo ili mchango wenu uwe na maana na uwanufaishe nyinyi tu na wafanyabiashara ambayo wanatafuta machimbo kila leo.

****************************

Kila chimbo litakuwa linauzwa 6k. Na taarifa za chimbo ziwe ni sahihi na za uwakika ili tusipate dosali ya kuonekana matapel bali tuwe msaada kwa wafanyabiashara wapya wanaotafuta machimbo ya kkoo na kutimiza ndoto zaidi.

Kama tutaweza kwenda sawa kimaslahi walai tutakuwa tumefanya kitu kikubwa sana kwenye nchi hii kwa kutatua changamoto ya wafanyabiasha wengi zaidi na kutimiza ndoto zao.

Kama tukiweza ili basi pesa ni halali kutufuata kwasababu tumesolve tatizo la watu wengi kwa uwaminifu mkubwa.

"Ukitaka upate kila kitu kwenye maisha, saidia watu wengi kutimiza ndoto zao au malengo yao". Pesa lazima ikufuate buda...

Siku zote natamani kusolve changamoto ambayo watu wengi wanapata tabu, kwa hili naomba mnisapot tufaidie wote kwa pamoja na kujivunia kwa kusaidia wafanyabiashara kutimia malengo yako bila kutapeliwa mtandaoni.

Kipi kinatuzuia kama wote ni watanzania ? Lugha moja Nchi moja , lets do it....

***********

Kama wewe ni winga lazima uwe na machimbo 10 au zaidi ili ujiunge na hii race ya kusolve tatizo la wafanyabiashara wanaonunua bidhaa kkoo.

Anza kuingiza pesa kupitia SMARTPHONE!.

Winga needed 10 au 20.

Piga simu namba hii 0755429928. Nipo DAR ,

"Actions speak louder than WORDS"

Tukutane kkoo
Tukutane kkoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baada yakuona thread Yako. Mizigo yako inafika ndani ya siku 3-5 tangu kuagiza Kwako Kwa njia ya ndege

Ningependa kukupa fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar kupitia FAGO EXPRESS

Unaeza agiza nasi hatakama huna pesa kamili sisi tukanunua Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo..

Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations. Karibu sana chief WhatsApp+255765018958

Tuko kariakoo Msimbazi B karibu na kituo cha polisi.
nikiwa na milion moja.naweza kupata vifaa vya simu kutoka china.na kufungua kiduka?
 
Yes chief, unaeza kuagiza mwenyewe, na sisi tukakamilisha shipping mpk Tz au ukatupa sisi ilo jukumu la kukuagizia, kufanya (sourcing) kuselect accessories bora nakufanya malipo yote mpk mzigo wako kufika Tz Kwa ndege ndani ya siku 3-5
 
Back
Top Bottom