Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kunyanyuka kwako kunakuja kwa kuwanyanyua wengine, usipambane sana kutoka wewe mwenyewe kwenye mzunguko wako, utarudishwa nyuma sana na kulalamikia sana wengine kwa sababu utaona wanafanyika mzigo...
2 Reactions
7 Replies
519 Views
Habari! Wenzangu mawakala mpoo? Imagine unafunga hesabu alafu unakuta 150000 hakuna[emoji2300] na hakuna muamala ulizidisha kila kitu kilikua perfect kabisa lakini leo nafunga hesabu 150k hakuna...
13 Reactions
100 Replies
6K Views
Hi everyone, Naitwa Princess niko Mwanza-Nyegezi. Nilikuwa naomba kuuliza biashara gani naweza kuifanya hapa ndani ya mkoa wa Mwanza. Mtaji ni 2million Msaada tafadhali
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Hello wapendwa..kuna mtu kasajili kila kitu akapata vibali vyote lakini hajui afanye biashara gani.. Yaan yeye alicho fanya nikupambana kusajili bila kujali anacho kieleza kule, kwake alikuwa ana...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
I have two houses in a compound with one big house and a guest wing ambayo naifanya hostel na ni fully furnished.....Napangisha. Iko opposite na LANDMARK HOTEL na DELTA APARTMENTS Main house 3/4...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Msaada nambeni mwenye audio za kuuza vifaa vya Simu
1 Reactions
1 Replies
274 Views
Mwenye ujuzi na biashara hizi za wakala naomba anipatie experience jinsi ya kutengeneza faida na risk zake
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali kuendelea kuhamasisha uwekezaji na uendelezaji wa viwanda Nchini-Mhe.Kigahe. Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe amesema kuwa Serikali inaendelea na juhudi za...
1 Reactions
1 Replies
731 Views
Habari ya wakati huu wapendwa ningependa niwashilikishe hili wazo la biashara ya kufuga kuku wa nyama (broiler) Kuanza na vifaranga 2000 2000@1900 3,800,000 Mabanda inategemea na sehemu ulipo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
"Asante sana Mheshimiwa Spika kwa kupata fursa ya kuchangia hoja ya Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023" - Mhe. Zainab Athuman Katimba, Mbunge wa Viti Maalum "Ni dhahiri asilimia...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Kwa yeyote mwenye ujuzi wa kupika ubuyu naomba anipatie experience kidogo pia na kuhusu vitu gani muhimu vinavyohitajika katika uandaaji wake.
2 Reactions
5 Replies
575 Views
Makampuni ya simu ya VODACOM na AIRTEL yameonekana kufanya vizuri kwa simu za nje ya nchi , yaan international incomming calls na out going calls , TIGO inafuatia pia kwa karibu , huenda VODACOM...
0 Reactions
4 Replies
967 Views
Nataka kuanza hii biashara ya kuuza simu za jumla. Hasa ndogo ndogo. Tafadhali Mwenye kujua abc zake anisaidie. Mwenye contact aliwahi kufanya. Ama anayefanya hii biashara. Minimum unaweza...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Bei 75,000 Goba Dar es Salaam 0685416752
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Tanzania, nchi iliyoko Afrika Mashariki, imekuwa ikitambuliwa kama mojawapo ya maeneo ya uwekezaji yenye fursa nyingi barani Afrika. Hii ni kutokana na rasilimali zake tajiri, mazingira mazuri ya...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Chanzo cha data hizi ni kwenye official website ya benki husika, benki nyingine hazijawekwa sababu hazijaweka taarifa za akaunti kwenye website zao. Kama unataka kufungua akaunti mpya kwa kutumia...
29 Reactions
53 Replies
26K Views
Nakuja mbele yenu natafuta gari ya kufanyia kazi za tax mtandao nikiwa na account zote za kazi hii, pia ata ikipatikana gari ndogo corola n.k ikiwa kwenye hali yoyote pia nahitaji kwa kazi za...
2 Reactions
3 Replies
403 Views
Habari ndugu wana jamvi. Naomba kujua tofauti iliyopo baina ya open cheque na close cheque. Ni vigezo vipi unastahili ili kulipwa open au close cheque? Je, ni kweli fedha za Serikali hazipaswi...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Kwa wanaofahamu lengo langu nataka ninunue gunia za mchele kutoka Mbeya kuja Dar es salaam kwa ajili ya biashara. Nataka nifahamu bei ya usafirishaji. Na pia nifahamu sehemu nitakayopata magari...
5 Reactions
33 Replies
13K Views
Habari wakuu, Leo nimewaletea mchongo wingine. Nafikiri kila mmoja anafahamu smart watch nini? Kama haufahamu smart watch nisaa ya mkononi inayotumika kama kisaidizi cha Simu ya mkononi...
13 Reactions
46 Replies
6K Views
Back
Top Bottom