Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habarini wakuu, Natumai mnaendelea vizuri pia poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa miaka 22 na pia ni mwanafunzi wa chuo nikisoma kozi ya Mechanical engineering ngazi ya degree na pia naingia...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Tafsiri ya neno ujasiriamali ni kitendo Cha kuumiza akili(brainstorming) na kubuni jambo ambalo halijawahi kuwepo kwa lengo la kuisaidia jamii. Mfano wa ujasiriamali ni kama vile ugunduzi za...
8 Reactions
73 Replies
3K Views
Tanzania tuna Dakatari wa uchumi. Aliyejimwambafai na kutueleza kwamba mambo yote ya kiuchumi wa nchii tumwachie yeye. Sisi na akina Luhaga Mpina tuendelee kujadili Mambo ya kiganga na kucheza...
2 Reactions
3 Replies
428 Views
Afrika Kishirikiana Kutatua Changamoto ya Usafirishaji Bidhaa Baina ya Nchi Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema Nchi za Afrika zimekubaliana kushirikiana katika...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Compressor ina ujazo wa 150l, inatumia mafuta. Imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu haina shida yoyote. Bei 950,000/= Mawasiliano 0769452934 or 0685854119
0 Reactions
1 Replies
680 Views
Habari ,naomba kuuliza bei ya maharage na mchela ni sh ngap kwa debe mwezi huu wa tisa (9) mwaka 2023 Bei mchele wa Kyela na mbalali na bei ya maharage ipoje
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Salaam Wana JF, Kama kichwa cha habari kinavo jieleza hapo juu,baada ya mapambano makali ya kujinasua kiuchumi,hatimaye nimepanga kufika mjini Dar es Salaam hususani maeneo ya Kariakoo kwa ajili...
1 Reactions
5 Replies
467 Views
Kama wewe ni dalali au mtu unaeitaji kiwanja/shamba au nyumba Kibaha karibu. Nina viwanja vingi Kibaha kwa mfipa, vilivyopimwa na ambavyo havijapimwa. Viwanja vinaanzia million 6.5 kwa...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Yawezekana una mtaji na hujui wapi utapata frem au umeshatafuta sana frem lakini hupati Frem. Lakini sio tu Frem ila unahitaji Frem iliyo katike best location. Huwa sinaga uchoyo katika kuinua...
12 Reactions
42 Replies
4K Views
Wana jamvi sina maneno mengi naitaji kuandikisha jina la biashara/kampuni yangu brela naombeni kujua gharama na namna ya kufnya mpk nifanikiwe
0 Reactions
3 Replies
512 Views
Habari wanajamii, kuna hii huduma ya lipa kwa namba, mwenye ufahamu naomba anifahamishe jinsi ya kuzipata zile line za lipa hapa na mwenye nazo anafaidika nazo vipi mteja pale anapolipia...
2 Reactions
13 Replies
24K Views
KARIBU Mo cargo Company Limited, has the right and affordable Logistic Solutions to your Cargo be, it small or big. With our in-depth domestic experience ( East and Central Africa ) in Clearing...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Samahan jamn naomba mnisadie ,,Nataka kufungua duka la urembo wa wanawake(cheni ,hereni,pete n.k) duka ambalo sio kubwa sana la kawaida tu samahan iv kwa haraka haraka natakiw niwe na mtaji wa...
0 Reactions
1 Replies
467 Views
Jamani hii ishu ya dollar kutonunulika na wananchi popote kwenye taasisi zenye fedha imekaaje? Wapi tunaweza nunua?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nisaidien kujua. Kati ya cover za cm. Transparent Na NILLKIN cover ipi nzuuri
0 Reactions
5 Replies
559 Views
Ukweli ni kwamba yajayo yanafurahisha watanzania tusubiri maumivu ambayo yawezekana hatujawahi kuyapata Jana nilienda kariakoo kuchukua mzigo wa majora ya vitambaa vya shule vinaitwa ISTEM mwezi...
1 Reactions
1 Replies
536 Views
Zama za kuanzisha biashara na kukaa kusubiria wateja waje, zimepitwa na wakati. Ushindani katika biashara umekuwa mkubwa sana na una hatarisha biashara nyingi zinazomilikiwa na watu ambao siyo...
1 Reactions
2 Replies
474 Views
Habari Wana jf Mimi ni mtanzania niliye na shauku kubwa ya kuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa duniani hasa wa kifedha , Elon Musk ndiye role model wangu. Nikifatilia story za Elon Musk ili...
5 Reactions
115 Replies
8K Views
Taasisi ya Kifedha ya Bayport imeeleza namna ya kukidhi vigezo vya kupata Mkopo , pia imesema kwamba hakuna haja yakusafiri muda mrefu au kuandika nyaraka kuomba Mkopo. Afisa Uendeshaji Mkuu wa...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Wana JF, Ninaomba mniambie, kwa watu waliowahi kuwekeza wanapata manufaa gani. Je, huu mfuko ni sawa na kununua hisa? Je, unapataje manufaa? Mwanye uzoefu anieleze tafadhali, asante.
3 Reactions
16 Replies
5K Views
Back
Top Bottom