Habari zenu wanaJF.
Aisee, hivi karibuni nimeanzisha biashara ya mayai ya kisasa lakini bado sijapata supplier wa uhakika ambaye ataniuzia jumla nami nikimbizane mdogomdogo huku uraiani.
Sasa...
Wadau mnaomiliki stationery tupeane uzoefu wa mfumo mzuri unaoweza kusaidia kwenye mahesabu. Ukizingatia stationery ina mambo mengi kama kuuza bidhaa, kutoa huduma kama copy, scanning, printing na...
WAHA wanamiliki maduka makubwa yenye mchanganyiko wa kila bidhaa tena huuza jumla na lejaleja ila hawana vitunza kumbukumbu maalufu (hawaandiki vitu wauzavyo) JE hawapati hasara?
kuna mtu ZAMANI alikuwa na hela akafilisika.,sasa akanitafuta na kuuliza kama nataka kiwanja.
Akaniambia niulize bei ni mwambie.
Sasa kabla sijashika pesa siwezi kwenda kuangalia viwanja...
Wafanyabiashara wa eneo la Darajani, Vikokotoni wanaendelea kukumbwa na changamoto kubwa ya ukusanyaji wa taka mbele ya maduka yao.
Licha ya kulipa pesa za taka kwa Manispaa kupitia tozo...
Ni kijana tu yupo kwenye 30s flani za ukingoni imeenda sana ni 40, kwa jinsi alivyo kimuonekano, gari anazotembelea, mavazi, n.k. waweza kumchukulia poa sana ila ni supplier mikoani + exports nje...
Naitwa Emmanuel Mashack, ni kijana mjasiriamali niliyejikita kwenye biashara ya samaki kupitia mtandao, ninaendesha huduma ya Mwanza Samaki Fresh.
Tunasambaza samaki aina ya Sato na Sangala kwa...
Mteja ukimwambia maneno haya, mara nyingi hata akiwa amekasirika ataanza kukusikiliza.
Biashara sio kuhusu kutokosea. Kila mtu anaweza kufanya kosa. Kinachotofautisha biashara inayodumu ni namna...
Kwa muda mrefu Tanzania imekuwa ikijitangaza kama nchi yenye amani, inayowakaribisha wawekezaji wa kigeni na inayoheshimu utawala wa sheria. Serikali imekuwa ikiandaa makongamano ya uwekezaji...
Kuchimba Thamani, Kujenga Kesho
(Unlocking Tanzania’s Golden Potential)
Vunjabei Gold Ltd ni kampuni ya madini inayojikita katika utafiti, uchimbaji, uchakataji, biashara na uuzaji wa dhahabu...
Wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Mwanzo nilikuwa nataka niende nikanunue kiwanja Chalinze lakini nimekutana na video mbalimbali mtandaoni zikionesha the way ambavyo hizo za CRDB...
Yafuatayo ni mambo ya Msingi ya Kuzingatia Ili Kufanikiwa Katika Biashara ya Fitness au Gym Center
Sekta ya Fitness na Gym inaendelea kukua kwa kasi kutokana na ongezeko la watu wanaojali afya...
Siku mmoja tulipa mgeni kutoka wataalamu wa mambo ya uwekezaji akatuma elimu juu y uwekezaji wa hisa, bond nk kwa kweli ilikuwa ni elimu nzuri na niliweza kujifunza kitu.
Kitu ambacho nilibaini...
Hello wadau natamani nipige kazi ya internet maeneo ya Tabata Segerea kuhusiana na internet services so yeyote anamfahamu DSA aniconnect naye nipige uwinga!
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa hoja kwa kuhoji “Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa?”
Kama hukusoma, bofya hapa ~...
Yote yanawezekana, kazi ya kichwa ni kufikiri namna ya kutimiza malengo yako.
Ni vizuri kukifikirisha kichwa kwenye mambo ya msingi, ili kurahisisha kupata mahitaji yako ya msingi ukiwa hapa...
Wadau, habari zenu.
Simaanishi kwamba biashara ya kuuza chenji ipigwe marufuku au wauzaji washughulikiwe. Hapana. Lakini ukweli ni kwamba, uwepo wa watu wanaofanya biashara ya kuuza noti ndogo na...
We have an idea in which we open a bar with imported beer in Zanzibar. The bar will have a classy central European style, designed to deliver an unforgettable social experience in one of East...
Habari,
Tunayo furaha kuwajulisha kuwa Kampuni ya Zanrec Recycling Company inatengeneza pallets kwa kutumia mbao za plastiki. Hizi ni pallets imara na hudumu kwa miaka mingi kama ilivyo plastiki...