Fursa ya biashara: Tuungane kukuza biashara ya samaki_Mwanza samaki fresh

Joined
Jul 24, 2025
Posts
13
Reaction score
11
Naitwa Emmanuel Mashack, ni kijana mjasiriamali niliyejikita kwenye biashara ya samaki kupitia mtandao, ninaendesha huduma ya Mwanza Samaki Fresh.
Tunasambaza samaki aina ya Sato na Sangala kwa ubora wa hali ya juu moja kwa moja kutoka Ziwa Victoria.

👉Lengo langu:
Kupanua wigo wa usambazaji kwa kushirikiana na watu mbalimbali katika mikoa tofauti, hususan wale wenye uhitaji wa bidhaa bora moja kwa moja kutoka Mwanza.

👉Ninacho hitaji:

✅Wadau/wajasiriamali wanaopenda kushirikiana nami kwenye usambazaji.
✅Hotel, bucha, migahawa au watu binafsi wanaotaka kupata samaki safi kwa bei ya ushindani.
✅Watu walioko mikoa mingine wanaopenda kuwa mawakala au kushirikiana kwenye mtandao wa usambazaji
✅kwa taasisi inayohitaji samaki kwa ajiri ya shughuli

🤏Biashara hii ina soko kubwa na mahitaji yanazidi kuongezeka. Ukiwa sehemu ya mpango huu, unakuwa sehemu ya suluhisho la chakula salama, safi na chenye lishe kwa jamii.

Tuwasiliane kwa maelezo zaidi:
📞 0719 941 250
📩emmanuelmashack8@gmail.com
📍 Mwanza Samaki Fresh

🙏Karibu tufanye kazi kwa uaminifu, tupanue biashara pamoja!
 
Shida ni bei hazikamatiki na walaji wengi ni wale wa low income.
 
Vipi wa kukaanga na dagaa za kukaanga? na bei zinaendaje?
 
Halafu page yako ni ipi maana instagram page zenye hili jina "Mwanza Samaki Fresh" ni nyingi sana
 
Naitwa Emmanuel Mashack, ni kijana mjasiriamali niliyejikita kwenye biashara ya samaki kupitia mtandao, ninaendesha huduma ya Mwanza Samaki Fresh.
Tunasambaza samaki aina ya Sato na Sangala kwa ubora wa hali ya juu moja kwa moja kutoka Ziwa Victoria.

👉Lengo langu:
Kupanua wigo wa usambazaji kwa kushirikiana na watu mbalimbali katika mikoa tofauti, hususan wale wenye uhitaji wa bidhaa bora moja kwa moja kutoka Mwanza.

👉Ninacho hitaji:

✅Wadau/wajasiriamali wanaopenda kushirikiana nami kwenye usambazaji.
✅Hotel, bucha, migahawa au watu binafsi wanaotaka kupata samaki safi kwa bei ya ushindani.
✅Watu walioko mikoa mingine wanaopenda kuwa mawakala au kushirikiana kwenye mtandao wa usambazaji
✅kwa taasisi inayohitaji samaki kwa ajiri ya shughuli

🤏Biashara hii ina soko kubwa na mahitaji yanazidi kuongezeka. Ukiwa sehemu ya mpango huu, unakuwa sehemu ya suluhisho la chakula salama, safi na chenye lishe kwa jamii.

Tuwasiliane kwa maelezo zaidi:
📞 0719 941 250
📩emmanuelmashack8@gmail.com
📍 Mwanza Samaki Fresh

🙏Karibu tufanye kazi kwa uaminifu, tupanue biashara pamoja!
Je una group la whatsap?
 
Back
Top Bottom