Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Super Market huwa sehemu ya vyakula ndio Cash cow yao ya kuendeshea biashara, ndio sehemu wanayo patia pesa za kurun Duka zima. Bidhaa zingine zinazo bakia ni changamoto tu kama ilivyo mtaani...
3 Reactions
9 Replies
317 Views
Habari wakuu naomba kujuzwa kati ya hawa jamaa wanaojiita Tamfoam Arusha na Dodoma Asili ni godoro gani lenye ubora na uimara zaid?
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mimi ni mgeni kwenye soko la hisa na nina hamu ya kujifunza kabla ya kuwekeza pesa zangu Naomba mnisaidie kujua: Mnaangalia vigezo gani kabla ya kununua hisa za kampuni? Mnafanyaje kutambua kama...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Biashara ya butcher ni moja ya biashara zenye soko la kila siku kwa sababu nyama hutumiwa majumbani, hotelini, migahawani na kwenye sherehe mbalimbali. Hata hivyo, mafanikio yake yanahitaji...
1 Reactions
2 Replies
288 Views
Salaam Kama unaitaji kununua kitunguu, nenda Lumuma, hata upeleke semi 10 zitajaa kwa wakati mmoja. Lumuma ni kijiji kinachopatikana wilaya ya Kilosa kwa upande wa Morogoro na Mpwapwa upande wa...
4 Reactions
12 Replies
268 Views
Biashara ya viatu kwa rejareja ni miongoni mwa biashara zenye soko kubwa kwa sababu viatu ni hitaji la kila siku. Watu hununua viatu kwa ajili ya kazi, shule, michezo, sherehe, safari na matumizi...
1 Reactions
1 Replies
907 Views
Kuna siku Insta niliona Iphone 14 wanauza laki 6. Wanasema duka liko Zanzibar lakini kwenda kwenye comments nikakuta wamefunga Nikasave post alafu nikawafollow nikasema mwisho wa mwezi nitanunua...
16 Reactions
53 Replies
996 Views
Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu 1; kuuza karanga 2; Machinga 3; Bodaboda 4; Kubet 5; Muuza Chipsi 6; Grocery 7; Kuchoma mahindi - Hadi upate hela ya...
25 Reactions
183 Replies
4K Views
Discover the ultimate Tanzania Family Safari itinerary designed for older children, combining adventure, education, and unforgettable wildlife experiences across Tarangire National Park...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
LOLC Tanzania Financial Services Limited is pleased to announce its successfully transition to LOLC Tanzania Microfinance Bank Limited The transformation follows the granting of Microfinance Bank...
3 Reactions
1 Replies
137 Views
⏭️GHARAMA 15.5m ⏭️TOYOTA-RAUM ⏭️CC:1490 ⏭️KM: imetembea km 75k ⏭️MWAKA: 2003 ⏭️IMESAJILIWA: 2024 ⏭️MATUMIZI: KAZINI-NYUMBANI ⏭️HALI YAKE: IMETUMIKA KAMA MPYA SIONGEI SANA UKIIWASHA TU TAYARI...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Tovuti ya BRELA ORS ina tatizo la kutotuma barua pepe za uthibitisho (verification emails) kwa watumiaji wanaojaribu kufungua akaunti mpya. Kutokana na tatizo hili, wananchi wengi wanashindwa...
1 Reactions
1 Replies
168 Views
Habari wakuu, Kabla ya kununua hisa za kampuni yoyote, ni muhimu kufanya uchambuzi wa kutosha ili kuelewa kama kampuni hiyo ina uwezo wa kukua na kutoa thamani kwa wawekezaji. Wawekezaji wengi...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
⏭️GHARAMA 15.5m ⏭️TOYOTA-RAUM ⏭️CC:1490 ⏭️KM: 75km/hr ⏭️MWAKA: 2003 ⏭️IMESAJILIWA: 2024 ⏭️MATUMIZI: KAZINI-NYUMBANI ⏭️HALI YAKE: IMETUMIKA KAMA MPYA SIONGEI SANA UKIIWASHA TU TAYARI UNAOMBA...
0 Reactions
7 Replies
232 Views
“Nilikuwa na nguo nyingi nzuri kabatini, lakini nilizivaa mara moja au mbili tu. Siku moja nikajiuliza, kwa nini nisizifanye biashara?” anasimulia Miss Grace. Hapo ndipo safari yake ya kuanzisha...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Dukani unafika umakuta mbongo lakini mzigo mkubwa na mbinu anazotumia unamshuku yupo tofauti sana na wengine, Bei anazouza kwa jumla elf 15, Reja reja elf 16, ni nani kampa jeuri hii ? Ni wachina...
8 Reactions
27 Replies
694 Views
Hello business professionals, mteja amelipia huduma kiasi cha Tsh milioni 1 ili afanyiwe kazi na akabidhiwe kazi yake Jumanne Tarehe 28/7/2026 Ghafla tu anapiga simu anaihitaji hio hela amepata...
1 Reactions
10 Replies
253 Views
Nimekuwa nikifanya utafiti wa kina na maandalizi ya bidhaa moja ya kibunifu (innovative product) kwenye sekta ya vinywaji hapa nchini. Bidhaa hii inaleta suluhisho la kipekee sokoni na tayari...
6 Reactions
40 Replies
738 Views
Hello, natumai mu wazima. Kwenye kujaribu kuiongelea Blogging kwa kina, kutokana na maombi ya baadhi ya wadau, nimeona mwanzo kabisa uwe na Basics, na hapa ntaongelea mambo ambayo utahakikisha...
5 Reactions
21 Replies
5K Views
Back
Top Bottom