Pallets ya mbao za plastiki

Pallets ya mbao za plastiki

mtataina

Member
Joined
Mar 18, 2025
Posts
13
Reaction score
6
Habari,

Tunayo furaha kuwajulisha kuwa Kampuni ya Zanrec Recycling Company inatengeneza pallets kwa kutumia mbao za plastiki. Hizi ni pallets imara na hudumu kwa miaka mingi kama ilivyo plastiki.

Pallets hizi hubeba hadi tani 1.5 na hutumika kwa matumizi mbalimbali, ikiwemo kubebea mizigo stoo, kwenye magari, kwenye maghala na matumizi mengine. Zina ukubwa wa sentimita 110 × 102 na bei yake ni Sh 135,000.

Mbao za plastiki haziozi, haziliwi na wadudu wala hazibunguliwi.

Tunapatikana Dar es Salaam na Zanzibar.

Namba zetu ni 0757671874.

Barua pepe: sales@zanrec.co.tz

WhatsApp Image 2025-02-24 at 11.06.03.jpeg
WhatsApp Image 2024-10-16 at 12.29.18.jpeg
 
mna nunua plastic wastes? Kama chupa za vinywaji,ndio n.k
 
Hakuna mbao za plastic
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom