On 6th August the government issued the public notice concerning the chargeability of VAT supply of international transport services.
This public notice directs that the transportation services...
Biashara ya maziwa inaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato kwa sababu maziwa ni bidhaa inayotumika kila siku. Lakini, ili kufanikiwa, siyo suala la kuwa na maziwa pekee—unahitaji kujua namna ya...
Vaileth alianza biashara yake ya kuuza chakula cha mifugo akiwa na lengo la kujenga chanzo cha kipato kinachoweza kukua kwa muda mrefu. Mwanzoni, hakuwa na wateja wengi wala mtaji mkubwa, lakini...
Wakuu, vipi biashara ya kuonyesha mpira iko na soko sana, au ndio kila mtu anamiliki Hissen na TCL 75"
Kama iko na soko, wadau wanahitaji sana Kuwe na TV au Projector 📽️ ndio yenyewe!?..
Tanzania ina uchumi wenye umbo la herufi K, kitaalam inaitwa "K shaped economy". Huu uchumi unakuwa na pande mbili kama herufi K, upande wa juu unakuwa na pesa nyingi, ukuaji mkubwa, matrilioni ya...
Huwa naamini sana katika biashara zinazohusiana na ujuzi flani flani kwani najua hata kama utakosa mtaji pesa ila ujuzi wako utakusaidia kwenda kupata pesa ya kuanzisha biashara yako mwenyewe...
Habarini Wakuu
Poleni na majukumu
Niko mbele yenu leo ninaombi moja kwenu nimekuwa nikiwaza sana kuhusu hii biashara ya ushonaji nguo kwa wiki sasa
Nimefanya utafiti kidogo mtaani na kuuliza...
SIMULIZI YA LAURENT: KUTOKA KWA WELDER MDOGO HADI KUWA NA BIASHARA INAYOAMINIKA
“Nilianza na mashine moja ya welding, lakini nilikuwa na kitu kimoja ambacho nilijua hakipaswi kukosekana—MPANGO.”...
Biashara ya dry cleaner au dobi ni moja ya biashara zenye mahitaji ya kudumu, kwa sababu watu wanahitaji nguo zao zifuliwe, zipigwe pasi na kutunzwa vizuri bila wao kutumia muda mwingi.
Lakini...
Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu, inahitajika gari aina tajwa apo juu kwa mmiliki halali wa gari iyo na anataka kuiuza basi anitumie picha na price yake inbox mim sio mfanya biashara ila...
■ Kiasi cha gawio kilichoidhinishwa ni TZS 70 kwa kila hisa.
■ Jumla ya fedha zitakazolipwa kama gawio ni TZS 4.3 bilioni.
■ Hii ni sawa na 40% ya faida halisi ya NICOL kwa mwaka 2024.
✅ Ratiba...
Kati ya vinywaji pendwa sana ukiachana na mitungi DSM ni juice za matunda(plus joto linachangia) mimi pia hupenda juice kila nilapo lazima niwe nayo pembeni...
Huwa napendelea sana kununua hasa...
Mambo Muhimu ya Kuzingatia Ili Kufanikiwa Katika Biashara ya Kuuza Mazao kwa Rejareja
Biashara ya kuuza mazao kwa rejareja ni moja ya biashara zenye mahitaji makubwa kila siku. Watu hununua...
Binti Aisha: Kutoka Sokoni na Gunia Moja Hadi Mfanyabiashara Mkubwa wa Mazao kwa Jumla
Aisha alikuwa msichana mwenye ndoto kubwa lakini mtaji mdogo. Baada ya kumaliza masomo, alitafuta ajira kwa...
Habari!
Mwenye uzoefu na biashara ya kusaga na kukoboa mahindi ( sembe na Dona ) Naomba kuelimishwa faida katika kila kilo mfano kwenye Sembe ( kama wewe ndio mwenye kiwanda unatakiwa kuweka shi...
Wakuu habri ya majukumu, mimi ni mkazi wa dar es salaam nina account ya bolt na ninahitaji gari ya mkataba au hesabu kwa ajili ya bolt mawasiliano yyangu ni 0786670079
Habari,
Kuna uhaba wa Engine oil za magari madogo na makubwa hapa tanganyika ni kutokana na mchina ambae ni outsource kuzuiwa na mwenyewe TOTAL OIL kuzalisha. Hii ni baada ya kushindwa kuzuia...
Hivi nyie wafanyabiashara huko DM kunakuwaga na viyoyozi?
Mimi huwa nikiona 'DM for price' siendi DM maana nahisi mfanyabiashara anataka kutazama profile yangu nimevaa nini, nina followers...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.