Wakuu wa jamvi, kwanza poleni na msiba. [emoji120]
Naomba kutoka kwenu kujua gharama za mtaji wa mashine ya kusaga na kukoboa nafaka kama mahindi, mchele n.k.
Napendekeza pia kushirikishwa...
Habari wakuu,
Khalysh investment tusambaza chakula cha kuku cha aina zote kwa bei ya kiwandani—ubora wa hali ya juu, bei rafiki, na uhakika wa matokeo shambani.
🐔 AINA ZA CHAKULA TUNAZOTOA:
🔹...
Habari Tanzania !..
Wewe kijana ukipewa kiasi cha pesa Tsh.1,000/=. Ukaambiwa ndani ya siku 7 uifanyie uzalishaji hiyo pesa kwa zaidi ya mapato ya Tsh.100,000/= utaweza!?..
Endapo ukiweza...
Jamani,
Naomba kuuliza. Ninatarajia kufungua biashara ya kufua nguo na kupasi. Je ninaweza kupata kipato kizuri cha kujikimu?
Hii biashara ili nipate faida, nifanyeje?
Je, nitapataje zile...
Miaka kadhaa iliyopita, Hussein alikuwa kijana wa kawaida mwenye ndoto kubwa lakini mtaji mdogo. Alikuwa akipenda michezo tangu utotoni na aliona fursa ambayo watu wengi waliipuuzia—biashara ya...
Wakuu rejea kichwa cha habari hapo. Nina tafuta mtu aliye tayari tufanye utafiti wa kuchimba dhahabu kwenye shamba langu.
Jirani na shamba langu Kuna mgodi unaendelea, hivyo na Mimi naitaji...
FBME, one of Tanzania's largest commercial banks, has been cut off from accessing the US financial system on suspicions that the bank has facilitated money laundering, terrorist financing, and...
Harufu ya upendeleo uagizaji wa mafuta; Serikali yakanusha ukiukwaji wa sheria
Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumezua mjadala mpana kuhusu mfumo wa...
🚨 COMING SOON 🚨
Kuna kitu kikubwa kinakuja...
SWAHILIFAMILY DIRAHUB ni mradi mpya chini ya SwahiliFamily Foundation wenye lengo la kuhamasisha Watanzania kuelewa Dira ya Taifa 2050 kupitia...
Mara nyingi tunasikia majina haya matatu—LNG, LPG na CNG—lakini kwa Mtanzania wa kawaida ni vigumu kuelewa tofauti zake na matumizi yake.
Ningependa wataalamu wa nishati watuelimishe kwa lugha...
Kuwekeza kwenye share na hati fungani it's risk lakini kuwekeza kwenye hisa ni risk zaidi na risk zipo katika aina hizi...
Systematic risk hizi ni aina za risk ambazo ni unavoidable(...
Kuna jambo ambalo nimeliona kwenye maduka mengi, sijui kama ni mimi peke yangu, lakini naamini linaweza kuwa linachangia baadhi ya biashara kupoteza wateja bila wenyewe kujua.
Unaingia dukani...
Watu wengi huamini kuwa ili ufanikiwe kwenye biashara lazima uwe na mtaji mkubwa. Lakini hadithi ya Sarah inaonyesha kuwa mafanikio huanza pale unapokuwa na maono, nidhamu na uamuzi wa kuanza na...
Biashara ya kukodisha ukumbi ni moja ya fursa zenye uwezo mkubwa wa kuleta faida endapo itaendeshwa kwa mipango sahihi. Mahitaji ya kumbi kwa ajili ya harusi, semina, mikutano, sherehe za kuzaliwa...
Je, unatafuta maharage safi yenye ubora wa hali ya juu kwa matumizi ya nyumbani au biashara?
Tunauza maharage bora kwa bei nzuri ya TSh 2,800 kwa kilo, kwa ununuzi wa kuanzia kilo 20 na...
Wakuu habari yenu
Naomba mwenye uelewa wa teknolojia ya namna ya kufanya biashara ya kukopesha simu . Nataka kufanya hii biashara ila nashindwa pa kuanzia.
Natanguliza shukran
Habari JF
Kama kichwa kinavyojieleza ninakopesha simu za mkopo aina ya Samsung.
Modeli no A06, A07,A16 na A17.
Njoo na kianzio Cha shillingi elfu50 kwa Samsung A06 na A07 Ili uanze kumiliki simu...
Wakuu, Mimi ni mmoja wa wale watu ambao hawawezi kuja hapa kujifanya ni mkali wa kamari.kiukweli kamari imeshanila hela ya kutosha. nadhani wakamaria wote tunajua huu mchezo wetu mfano mdogo juzi...
Kama sikosei, mwaka huu 2026 Serikali ilitoa utaratibu wa kuwaruhusu wafanyabiashara wapya kufanya biashara kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kutozwa kodi, ikiwa wamejisajili na kupata namba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.