Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu naomba msaada wa hatua za kuchukua kuuza hati fungani ya BOT, nimepatwa na dharula ninahitaji pesa niloiwekeza huko inisaidie.
2 Reactions
7 Replies
248 Views
Wanajamvi kama kichwa kinavyosomeka, natamani kujua biashara yenye mzunguko na faida nzuri kati ya agrovet na hardware kwa maeneo ya Mbeya. Kwa faida yangu na ya wengine naomba wazoefu na...
3 Reactions
7 Replies
297 Views
Anonymous
Kuna haja kubwa kwa TRA kufanya mapitio ya mara kwa mara ya viwango vya bei vinavyotumika kwenye mfumo wao wa ukokotoaji wa kodi za magari. Kwa sasa, inaonekana kuwa baadhi ya bei zilizopo kwenye...
12 Reactions
21 Replies
1K Views
Baadhi ya kero hizo ni kama ifuatavyo: 1. Wafanyakazi kubebwa na roli kwenda na kutoka kazini. 2. Mfanyakazi akilalamika juu ya kutotemdewa haki anatishiwa kufukuzwa kazi. 3. Mazingira ya eneo la...
1 Reactions
2 Replies
146 Views
Je ni Mkoa upi unafaa Kwa kuishi nanutafutaji kati ya haya Majiji 2? Mbeya-Ikiwakikisha Nyanda za Juu Kusini. Tanga-Ikiwakilisha Kaskazini Mashariki ya Tanzania.cc Accumen Mo...
8 Reactions
95 Replies
4K Views
KOROGWE: WAKAZI WAKUBALIANA UAINISHAJI WA ENEO LA KIWANDA CHA SUKARI Korogwe, Tanga | Agosti 10, 2026 Wakazi wa vijiji vya Kata ya Mkalamo katika Wilaya ya Korogwe wamekubaliana na Mkuu wa Mkoa...
0 Reactions
1 Replies
142 Views
AM GRAIN STORE - CHANIKA Tunauza NAFAKA BORA jumla na reja reja kwa bei nafuu! 📍 Tupo: Chanika, Dar es Salaam 📦 Tuna: Mahindi, Maharage, Mchele, Mafuta, Unga, nk. ✅ Bei ya jumla kwa...
9 Reactions
72 Replies
688 Views
Habari za mida wakuu.. Mimi ni mfanyakazi wa kampuni binafsi.. Napata mshahara wa wastani tu ila nilitamani niwe na biashara yangu ya pembeni ambayo itanisaidia kuongeza kipato. Ila changamoto...
2 Reactions
10 Replies
607 Views
Eneo linauzwa Square meters 371 Location Dar es salaam - makumbusho Bei Billion 1.5 Maongezi yapo ofisini Hiyo nyumba ina family house 2 ziko hivi unaingia sitting room, dining, kitchen, choo na...
0 Reactions
5 Replies
171 Views
Habari Jf. Katika mchakato wa kuchimba kisima sustainable kuna hatua ya kwanza ya vipimo, underground water survey, ambapo kifaa maalum kinachotumika hutoa report, katika report hiyo utakutana na...
1 Reactions
0 Replies
174 Views
Hivi biashara unatakiwa uifanye ndio uijue au uifanye kwanza ndio uijue?
0 Reactions
14 Replies
263 Views
Leo watu wengi wanaanza biashara ya nguo kupitia WhatsApp Status, Instagram, Facebook au TikTok. Unaweza kuanza ukiwa na nguo chache, ukapata wateja wa kwanza na kuanza kupata faida. Lakini swali...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
🍌𝗠𝗙𝗨𝗠𝗨𝗞𝗢 𝗪𝗔 𝗕𝗘𝗜 𝗨𝗡𝗔𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗠𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔𝗕𝗜𝗔𝗦𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗪𝗔𝗗𝗢𝗚𝗢 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔🥒🍌 Ripoti mpya ya TICGL inaonesha kuwa ongezeko la mfumuko wa bei nchini linaweza kuendelea kuathiri kwa kiwango kikubwa...
1 Reactions
4 Replies
232 Views
Na deal na nguo za watoto mitumba za aina mbali mbali, maranyingi root yangu ni morogoro kikundi na sabasaba, kibaigwa na gairo, bagamoyo, kiwangwa au tabata baracuda.... Kama mnavyojua minadani...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu? Natumaini wote mpo salama na mnaendelea vizuri. Nina mtaji ambao ninatarajia kuwekeza katika kufungua barber shop eneo la Msamvu, karibu na Stendi Kuu ya Morogoro. Mpango wangu...
12 Reactions
108 Replies
2K Views
Wakuu Nina reseni ya uzabuni na Nina miaka 4 katika kazi hii hivyo Nina uzoefu nzuri. Natafuta fursa za zabuni (tenders) na usambazaji wa vifaa vya ICT Kampuni yangu ina leseni halali ya...
1 Reactions
4 Replies
180 Views
Mambo ya Msingi ya Kuzingatia Kabla ya Kuanzisha Biashara ya Petrol Station (Filling Station) Biashara ya Petrol & Filling Station ni miongoni mwa biashara zenye mahitaji ya kila siku kutokana na...
1 Reactions
4 Replies
299 Views
Back
Top Bottom