Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ishu yangu ni hii naomba kwa anaejua hawa jamaa wanaouza baskeli ambao ni Meridian bit tech limited je ni kweli wapo Zanzibar? na wanafanya hii biashara ya baskeli tafadhalini Sana kwa anaejua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari, Kwa wanaofahamu, naombeni utaratibu wa kufuata nikitaka kupata kibali cha kufanya biashara ya mabasi Tanzania. Nataka nianze na mabasi 4 route ya Dar-Mwanza.
4 Reactions
9 Replies
2K Views
* Wafanyabiashara wanaweza kutumia NCD kupata anwani na simu za biashara zinazotoa bidhaa au huduma wanazohitaji. Hii inaweza kuwasaidia kuokoa muda na juhudi za kutafuta biashara hizi. Kwa mfano...
1 Reactions
0 Replies
424 Views
Kwa watu wote hasa vijana kumiliki nyumba ni ndoto ambayo kila mmoja anatamani kuitimiza. Lakini imeoneka kuwa sio rahisi kumiliki nyumba. Kwa wale ambao tayari mnamiliki nyumba hata magari...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari zenu, Mimi ni kijana wa miaka 29 ninajishughulisha na biashara ya stationery maeneo ya buza uswahilini sasa naona changamoto imeanza wiki hii mambo ni magumu: mauzo yapo hafifu...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Jumapili njema iwe nanyi wote. Nimekuja naombeni mchanganuo wa Biashara ya Stationary kwa Kuanzia vifaa ni vipi na aina gani ni nzuri. Mambo ninayota stationary yangu iyafanye ni 1.Copy...
6 Reactions
18 Replies
5K Views
Inafika wakati biashara inakatisha tamaa, kuna hawa wateja wanao penda kupunguziwa kila kitu asee wanakera. mtu anakuja dukani anaulizia karibu kila bidhaa ukimtajia bei utasikia…….., Duh! We...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Bila shaka kila kitu kina malengo. Na ili kutathmini ufikiwaji wa malengo lazima uwe umekusanya taarifa sahihi(umetunza rekodi). Pongezi kwa Google waloweka Sheet ya bure ya kutunza rekodi zako...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Nipo njia panda ya Gairo Morogoro nahitaji kupata gari la mizigo linalotika dar hadi tarime coz kuna mizigo nahitaji kusafirisha
1 Reactions
3 Replies
699 Views
Lengo nitumie pesa ya mkopo kufanyia biashara huku nikiwa nalipa kidogo kidogo kila mwezi dhamana yangu ni account ya bank salio nililonalo. Je napewa?
3 Reactions
4 Replies
449 Views
Hizi ni fursa mbalimbali katika sekta ya bahari ambazo mtanzania yeyote anaweza akafanya au kuanzisha kampuni ya kutoa huduma hizi. 1. Clearing and Freight Fowarding Hii huusisha kazi za kutoa...
26 Reactions
48 Replies
10K Views
Hello wana Jf kwa wafanyabiashara wa biashara ya mchele hasa wale ambao bado mna mitaji midogo haina haja ya kutumia ghalama ya kusafiri mpaka mbeya Karibu uagize mzigo unaohitaji kutoka kwetu...
1 Reactions
4 Replies
631 Views
Pamoja na kwamba ana lalamikiwa na watu wengi kwa kuweka vituo vyake vingi kwenye makazi ya watu, lakini ni moja ya kampuni zinazo fanya vizuri tanzania.. Mmiliki wake ni nani?
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanza nianze kwa kumshukuru Muumba wa Mbingu na Nchi kwa kuzidi kutupa afya makini sote kwa mapenzi yake. Naamini siku zote Mungu hatupi tunachotaka bali unachostahili nimekulia maisha ya...
37 Reactions
145 Replies
23K Views
ndugu zangu hivi mnajua biashara ya nguo inalipa sana? Ila siyo kirshisi kama usipokuwa mjanja, mjanja kivipi? Nguo za wanawake na watoto zinatoka sana, zingatia location nzuri ya biashara yako...
14 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu. Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, thamani ya pesa yetu imeshuka pia. Noti moja ya sh. elfu kumi si kitu tena. Ata ukienda dukani tu kwa muha kununua mahitaji ya...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
Follow the RUPIA GLASS AND ALUMINIUM channel on WhatsApp: RUPIA GLASS AND ALUMINIUM
0 Reactions
0 Replies
378 Views
Ndugu zanguni habari za wakati na muda kama huu. Matumaini unausoma ujumbe huu ukiwa mzima wa afya na kama kuna changamoto basi Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi. Nia na madhumuni ya jumbe hii ni...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Hii inaonekana sana.kuna wizi mkubwa sana kwenye mafuta ya sheli apa mjini Adi inafikia mda mtu unatamani uichome sheli moto Na pia ni sheli gani hazina wizi huu na nini kifanyike Karibuni kwa...
2 Reactions
132 Replies
28K Views
Nguvu kazi nyingi ya taifa (work force) hufanya kazi za udalali mijini lakini kwanini? Kazi ambazo zimeshamiri na kila kijana kutoka mkoani na zina watu wengi ni za udaĺali wa viwanja nyumba...
6 Reactions
9 Replies
613 Views
Back
Top Bottom