Big Man Kontawa
Member
- Aug 28, 2021
- 36
- 108
Habari ndugu zangu.
Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, thamani ya pesa yetu imeshuka pia. Noti moja ya sh. elfu kumi si kitu tena.
Ata ukienda dukani tu kwa muha kununua mahitaji ya nyumbani elfu kumi inakatika kwa vitu hata mkononi havijai. Mimi binafsi huwa najitahidi kununua mahitaji ya nyumbani kwa pamoja kama vyakula hvo natakiwa kwenda kwa muha na noti za elfu kumi kumi kuanzia kumi na mbili na zaidi.
Binafsi naona kuna umuhimu wa kuongeza noti za elfu hamsini na laki moja kwenye hela zetu. Hii itaweza kurudisha hadhi ya hela yetu kiasi fulani, ukiwa na noti moja ya elfu hamsini huna wasiwasi inaweza kufanya mambo mawili matatu bila tatzo tofauti na hzi elfu kumi. Pia itapunguza ulazima wa kubeba manoti mengi kwa matumizi ya kawaidi tu.