Msaada biashara ya Stationary na fanyakazi wake

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,136
1,952
Jumapili njema iwe nanyi wote.

Nimekuja naombeni mchanganuo wa Biashara ya Stationary kwa Kuanzia vifaa ni vipi na aina gani ni nzuri.

Mambo ninayota stationary yangu iyafanye ni

1.Copy
2.Printing
3.Typing
4.Passport size
5.Lamination
6.Scanning
5.Kuuza Vifaa na makorokoro

Mwanzo huu naomba nianze kwa huduma hizo tuu.

Sijui hii biashara inafanywaje faida inapatikanaje, naomba Mtu ataenisaidia Kujua kazi hii tunaifanyaje kwa ubora na ufanisi.

Lakini namba Mbili ni kwamba nahitaji Mfanyakazi wa hiii stationary, kama upo na ushawahi ifanya hii kazi na unajua inavyofanywa na unahitaji kazi nitaomba uje PM.

MSHAHARA wako ni 240,000 kwa mwezi, Najua kuna mtu atashangaa imekuaje nimetoa mshahara wakati ofisi haijafunguliwa.

Kazi zipo za kutosha naamini Huyu mtu ataepatikana wakati tunasubiri wateja wa stationary kuna kazi zingine atakua anafanya.

MSHAHARA wake ni Huo 240k kwa mwezi (waliopo mkoani) Kama Huna pa kulala nitakupa Chumba Ukae Nitakulipia KODI nitakuwekea mahitaji muhimu ya mtu kuishi.

Mshahara wako utakua 150,000 kwa mwezi. Kwahiyo nahitaji mtu anaejua hii kazi kweli kweli.

Nikipata Wawili nitafurahi zaidi Stationary itakua na vitu vingi nnje ya stationary... Wawili wa Jinsia 1 ili waweze ku share Chumba (kama ni wa mkoani) me+me au ke+ke.

Naendelea kupokea Michango na ushauri kuhusu hii biashara faida yake inafanywaje hasara,nini cha kuepuka,nk.

Fungukeni nyote.
 
asante

nahitaji hiyo kazi kiongozi coz nauelewa na Computer (Printing, Copy, Typing na hata kuuza bidhaa), nimeshindwa kuja private mana imegoma
 
Biashara hiyo ukipata mtu mwaminifu inalipa sana na sio mwaminifu tu anayejua kutumia computer na soft zake zote.hapo tafuta KE kwa ajili ya typing na ME Kwa ajili ya kazi zingine zingine faida yake mara nyingi ipo kwenye printing, copy na lamination. faida inapatikanaje hiyo nikazi ya kitaalm mkuu na ujuzi huwa hautolewi bure
 
Basi kafanye wewe uliye muaminifu mana ya kazi ikitangazwa kila mtu anahakii ya kuomba nafasi ila ulivyo mjuaji sasa au mwenzangu umejiajili nini?
Nimekaa paleee utakuja kunipa majibu kama utafanya kazi kwa huyo mtu
Kuna watu Wana mafile ya watu humu tunakaa tunaangalia tu
 
Back
Top Bottom