Hello wadau,
Nikikwambia kuwa siku za karibuni biashara nyingi zitakuwa na wafanyakazi wa AI utaniamini?
Sizungumzii ChatGPT ya kumuuliza maswali, kupata majibu na kuondoka.
Ninazungumzia AI...
Biashara ya kuuza carpets rejareja ni moja ya biashara yenye fursa nzuri, hasa kwa sababu watu wanahitaji carpets kwa ajili ya nyumba, ofisi, hoteli, saluni, maduka na maeneo mbalimbali.
Lakini...
Biashara ya salon au barber shop inaweza kukuingizia kipato kizuri ikiwa utaanza kwa mpango sahihi. Kabla ya kufungua biashara, zingatia mambo haya
1. Chagua eneo zuri
Tafuta sehemu yenye watu...
Kero yangu ni Ofisi ya Kata ya Gongo lamboto iliyopo Pugu Kona, Maafisa Biashara wa Halmashauri wamekuwa wakikamata Wafanyabiashara na wasiokuwa na leseni au wenye leseni lizizoisha na wengine...
🔥 ALCOHOL TESTER – KIPIMA KIWANGO CHA POMBE MWILINI 🔥
📌 Bei: 55,000/=
✅ Hupima kiwango cha pombe
✅ Digital display – usomaji rahisi
✅ Inachajiwa kwa USB
✅ Rahisi kutumia na kubeba
✅ Inafaa kwa...
Nafikiri humu kama unaanzisha biashara yako usije kabisa maana wana JF ni wajuaji utafikiri wote matajiri😂😂...halaf anaweza akaa anaongea kitu ambacho hakijui utafikiri anakijua kuliko...
Habari zenu wakuu
Nipo mbioni kuanzisha huduma ambayo nitakua ninahudumia makanisa(Pentecost)
Business models niliochagua ni mbili ila hii moja ndio naiombea ushauri kwamba,
nitafanya kazi then...
Hilo ni jambo la kuchukulia kwa uzito. Mtu ambaye biashara yake inaanguka na anaona pesa ndiyo njia pekee ya kuiokoa anaweza kuwa chini ya msongo mkubwa wa kifedha na kihisia, na katika baadhi ya...
Tanzania tuna vijana wengi wenye mitaji na wanaojua kufanya biashara. Tatizo mara nyingi si mtaji, bali ni namna tunavyoutumia mitaji yetu.
Fikiria Kijana ana Sh milioni 10, 20, 50 au 100, mara...
Habari wadau, nikiwa Kama kijana naepambana katika kizazi hiki Cha teknolojia, Mimi ni mdau mkubwa Sana wa mitandao ya kijamii, na ni miongoni mwa watumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii kujipatia...
Shirika lolote lisilo la kiserikali (NGO au Nonprofit), kufanikiwa katika utafutaji wa rasilimali fedha (fundraising) mara nyingi hutokana na kuomba fedha kwa watu sahihi. Kimsingi, fundraising...
Shirika lolote lisilo la kiserikali (NGO au Nonprofit), kufanikiwa katika utafutaji wa rasilimali fedha (fundraising) mara nyingi hutokana na kuomba fedha kwa watu sahihi. Kimsingi, fundraising...
Naomba kwa anaefahamu taratibu za kufungua duka la dawa kwa hivi sasa ziko vipi
Mimi nina cheti cha umiliki wa duka la dawa ila sio mfamasia
Natanguliza shukran 🙏
Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝
Imekuwa kawaida sasa kwa watu waliofanikiwa kiuchumi kubaki na siri zao namna walivyo ukimbia ukata, kila Tajiri utakaye muuliza...
Kichwa cha uzi cha husika, nipo njia panda kwa sababu sina uzoefu bali naamini humu JF (kichaka cha maarifa) nitapata ushauri bora.
Natarajia kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji lkn ili ni speed...
Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu:
Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta...
Wanajamii, katika maisha ya sasa, ajira pekee haiwezi kuwa suluhisho la kufikia mafanikio kwa kiwango cha juu. Hivyo, ni muhimu kuwa na alternative sources za income ili maisha yaweze kwenda...
Ni muhimu sana kuzingatia lugha katika biashara,angalia lugha inayoeleweka na asilimia kubwa ya wateja wako, hiki ni kipengele muhimu cha copywritting.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.