Lugha muhimu sana katika biashara

Lugha muhimu sana katika biashara

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,782
Reaction score
4,256
Ni muhimu sana kuzingatia lugha katika biashara,angalia lugha inayoeleweka na asilimia kubwa ya wateja wako, hiki ni kipengele muhimu cha copywritting.
lugha.jpg
 
Kuna aliyenunua gari lolote la Toyota na likaja na manual book ya kiingereza?
Manual za TOYOTA zipo katika lugha mbalimbali kulingana na soko la gari husika,ikumbukwe ubora wa gari inayozalishwa kwa matumizi ya USA ni tofauti na ule wa AFRIKA,hivyo hata manual zake ni tofauti ktk lugha.

Gari nyingi tunazotumia hapa kwetu ni used kutoka nchi mbalimbali hasa JAPAN,tukisema used from JAPAN maana yake gari hizo zilikuwa intended kwa matumizi ya JAPAN yaani soko lake ni JAPAN hivyo manual zake mostly zipo katika lugha ya kijapani.

Lakini gari mpya zero km ukinunua unapata manual katika lugha specific kabisa kwakuwa dealers wao wanaagiza specifically au ni matawi ya toyota ndio huuza na huzingatia lugha,lakini manual nyingine zipo katika lugha mbili JAPANESE na ENGLISH.
 
TheForgotten Genious,

Sasa inakuwaje gari hizohizo intended for Japanese market tunazoagiza bongo ukifungua bonnet zina lugha mbili?

Reservoir tanks za coolant,brake fluids, power steering fluid,ATF dipsticks zimeandikwa kiingereza.

Kile kibati chenye taarifa muhimu mf engine na rangi ya gari kipo kwa kiingereza pia.

BTW: Hata uagize 0Km kupitia hao wahindi wa Toyota Tz manual ni hiyo ya kijapan sababu wanayatoa huko.

Masoko ya US&Ulaya wana assemble wenyewe hizo Toyota hawaagizi gari toka Jpn.
 
Mimi nimeona ToYOTA HILUX zero km manual yake ni dual language
 
Toka nijifunze sanaa ya kuogea sijawahi juta lugha ya ushawishi ni uchawi tosha wa kuwavuta wateja
 
Back
Top Bottom