Habari zenu wakuu.
Mapambano yanazidi kupamba moto kila uchwao, kila mmoja katika nafasi yake. Leo nimekuja na swali kwenu nyote wataalamu katika masuala ya kusoma upepo wa biashara kule ziendako...
Wazeee twende speed muda wa salamu hamna tutasalimiana kwenye comment..
Asee Biashara ni nzuri sana kama ukiwa umetuliza akili ukajua unaingia kufanya biashara gani na biashara ya nini...
Kuna...
🔥 CAR 6-PORT FAST CHARGER — 48W 🔥
🚗 Charger bora kwa gari lako!
⚡ 6 Ports — 2× Type-C + 4× USB
🔋 48W High Power
📱 Chaji simu za abiria wa mbele na nyuma
📏 Cable ndefu 1.5M
💡 Rainbow LED /...
Butcher inaweza kuanza na mtaji mdogo, lakini bila eneo sahihi, usafi, nyama bora na huduma nzuri kwa wateja—unaweza kuuza kila siku lakini bado usipate faida unayoitarajia.
Biashara ya butcher...
Kwa wale wafanyabiashara mnaokuja kujumua mbao wilaya ya Njombe ningependa kuwataarifu juu ya mabadiliko ya ushuru na kodi ya TRA
•Kwasasa wilaya ya njombe wanacharge 3% ya thamani ya mbao zote...
Kabla hujasema ‘sina mtaji wa kuanza biashara’, soma kwanza story ya Najma👇
Hii ni story ya Najma, mwanamke aliyegundua kitu kimoja muhimu: kutokuwa na mtaji si sababu ya kuacha kuanza...
Hello wadau,
Kama kila mara unafungua ChatGPT, unaandika prompt, unapata jibu halafu unaondoka—bado hujajenga mfumo wa AI wa biashara.
Umetumia AI.
Lakini kesho utarudi na kuanza tena.
Mfumo...
Nimefuatilia kwa muda mrefu na nimeona kuwa hawa watu hawatoi risiti kabisa. Sasa sijajua labda sheria iko hivyo, lakini ukiangalia mauzo yao, wanauza simu moja kwa Sh milioni 3 hadi 5, lakini...
Habari zenu wakuu,
Uwekezaji kwenye hisa au hatifungani (bonds) unaweza kuwa njia nzuri ya kujenga utajiri kwa muda mrefu. Lakini kama ilivyo kwenye uwekezaji mwingine, unaweza kupoteza fedha si...
Wale wawekezaji wenzangu now songea viwanja bei poa sana, kutokana na miradi ilio anza soon, utabiri wangu ndani ya miaka miwili mbele mji wa songea utakuwa moja ya miji ghali sana kuishi hapa...
Habari za wakati huu wakuu.
Naomba ushauri kutoka kwa wenye uzoefu na biashara ya nyama choma hapa jijini Dar es Salaam.
Nina mpango wa kuanzisha biashara ya nyama choma, lakini sitaki kabisa...
Mkataba wa Upangaji? Fanya KIDIGITALI na eSaini.
Umechoka na karatasi, kusafiri kumtafuta mpangaji au kusubiri mkataba usainiwe?
eSaini inakupa njia rahisi ya kusimamia mkataba wako wa nyumba...
Habari wakuu,
Kuna wale wataalamu wanaotengeneza viatu pamoja na soli zake kuanzia hatua ya kwanza, yaani wenye viwanda vyao.
Naomba kujua, hapa Dar es Salaam wanapatikana wapi?
Nashukuru.
Mimi ni mwandishi wa Vitabu (zaidi ni Riwaya). Tena naandika mno!
Changamoto ni moja ambayo ni kuwa, Sina uwezo wa kuchapisha na kuzisambaza kazi zangu kutokana na kipato changu kuwa kidogo...
Tanzania yaingia hatua mpya kwenye Madini Tembo
Taarifa hiyo inahusu kampuni ya Nyati Mineral Sands Limited, inayotekeleza miradi mikubwa ya uchimbaji na uchakataji wa Madini Tembo (Heavy Mineral...
Wakuu nimekuwa nikifuatilia JF kwa muda mrefu sana, tangu enzi hizo inaitwa JamboForums mpaka JamiiForums. Nimeona watu wengi walivyo na muamko wa biashara ili kuongeza kipato sababu mishara ya...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewahimiza wabunifu nchini kusajili kazi zao ili kuzilinda kisheria, Wakala imeeleza kuwa usajili huo utawasaidia wabunifu kuzipa thamani kazi zao...
Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wizara kwa BRELA, Prof. Neema Mori amewasisitiza Maafisa Biashara Nchini kuwa wawezeshaji wa wafanyabiashara badala ya kuwa wadhibiti ili kufanikisha Dira ya Taifa...
Kwa waliotimia vichwani tu,je waweza dadavua msemo huu wa Jaji mstaafu kwa kina na mapana yake?
#Maji ni marefu kwa kesi hii..
#Kwa wale wanaosema hakuna kesi pale eti ni uonevu tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.