Wapi naweza kupata Mbolea ya Ng’ombe ya Kutosha Dar es Salaam?

Wapi naweza kupata Mbolea ya Ng’ombe ya Kutosha Dar es Salaam?

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,236
Reaction score
14,979
Nina shida ya Mbolea ya Kutosha , mwenye nayo tufanye biashara
 
Njoo maeneo ya Mazizini along Mombasa to Moshi Bar road. Kuna machinjio na mbolea lukuki
 
hata tipper 5 ukitaka unapata
Yeah kwa kiasi kikubwa Udogo wa Dar ulioko site haufai ndiyo maana nataka niubalishe kwa kuweka mbolea nyingi nimegundua naweza kupanda miche ya matunda na mboga mboga
 
Yeah kwa kiasi kikubwa Udogo wa Dar ulioko sight haufai ndiyo maana nataka niubalishe kwa kuweka mbolea nyingi nimegundua naweza kupanda miche ya matunda na mboga mboga
Mi nnayo ya kutoshaa but ni nje ya dar kidogo(kongowe)....kesho ntatembelea ukiwa ready ntakwambia kiasi gan inapatkana
 
Back
Top Bottom