Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kampuni ya Uber inayohusika na huduma za taksi mtandao,imetangaza kusimamisha shughuli zake nchini Nigeria na Uganda kuanzia tarehe 2 Septemba 2026. Wataalam wa biashara na uchumi tunaomba...
2 Reactions
3 Replies
147 Views
🚀 BUSINESS PARTNER ANAHITAJIKA – PUNGUZO HUB Tunatafuta Business Partner/Investor mwenye uwezo wa kuwekeza TSh 10,000,000 katika PUNGUZO HUB — platform inayowaunganisha wateja na bidhaa/huduma...
1 Reactions
2 Replies
111 Views
Wakuu nataka nifungue maabara ndogo. Elewa hapo ndogo! Ila nina mtaji wa laki tano je unatosha kufungua Maabara ndogo ya kuanzia nikipata hela nitakuwa naongezea vitu! Wataalam wa Afya nawaomba...
6 Reactions
65 Replies
4K Views
Habari wana jamii. Niko Tarime natafuta mashudu ya alizeti nayafata popote Tanzania
1 Reactions
9 Replies
552 Views
🍺 ALCOHOL BREATHALYZER — KIPIMA POMBE MWILINI JIPIME KABLA YA KUENDESHA! 🚗 Kifaa cha kisasa cha kupima kiwango cha pombe mwilini kupitia pumzi. Kina digital display inayokuonyesha majibu kwa...
1 Reactions
0 Replies
58 Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) hivi karibuni imetangaza habari njema kwa watumiaji wa vyombo vya moto na mitambo nchini, kwa kushusha bei za mafuta. Kuanzia Jumatano ya...
1 Reactions
0 Replies
186 Views
life inataka uishi as cooperate , ukijifanya as individual lazima ufeli vibaya sana . mafanikio lazima ujue how cooperate life ikoje . hata ukija katika mahusiano napo rules ni hiyo hiyo. ukienda...
0 Reactions
1 Replies
176 Views
Mahitaji ya vyakula vyenye virutubisho yanaendelea kuongezeka, huku watu wengi wakitafuta bidhaa zinazoweza kuwasaidia kupata lishe bora. Hali hii inafanya biashara ya unga wa lishe kuwa fursa...
1 Reactions
4 Replies
191 Views
Biashara ya vifungashio ni miongoni mwa fursa zinazokua kwa kasi nchini Tanzania. Ukuaji wa viwanda vidogo na vya kati (SMEs), pamoja na ongezeko la wajasiriamali wanaozalisha vyakula, vinywaji...
0 Reactions
2 Replies
415 Views
Hapo ndipo fursa kubwa ya biashara ya DELIVERY SERVICES ilipo. Lakini kabla hujanunua pikipiki au kuanza kusafirisha mizigo, kuna mambo muhimu unapaswa kuyajua… Kwa ukuaji wa biashara za...
1 Reactions
1 Replies
138 Views
Wafanya biashara wana mbinu zao za kuwavuta na kuwauzia wateja bidhaa kwa bei ambazo si halisi na kubwa zaidi ila wanajifanya kama vile hawapati faida hata kidogo au wanatoa huduma tu ili nao...
1 Reactions
8 Replies
267 Views
Unaweza kununua mahindi, mpunga, maharage, karanga, alizeti, mihogo au mazao mengine kutoka maeneo yenye uzalishaji mkubwa na kuyapeleka kwenye masoko yenye uhitaji. Lakini bila mpango mzuri...
1 Reactions
0 Replies
305 Views
Ipo Ada Estate, Kinondoni, mbele ya mtaa, katika eneo tulivu Umiliki: hati safi Ukubwa wa kiwanja: sqm 2,950 Bei: TSh bilioni 6.5, sawa na USD milioni 2.5 Bei inazungumzika kidogo. 🇹🇿...
0 Reactions
10 Replies
554 Views
1. Ukitaka chimbo la bidhaa zote acha usingizi, nenda Kariakoo muda kama huu saa 8 za usiku 2. Machimbo ya bei nafuu sio Siri, yapo wazi usiku tu kuanzia saa 7,8,9 ndo utayaona 3. Usije...
49 Reactions
121 Replies
5K Views
Mwaka 2014 kuna bwana mdogo, alikataa shule akiwa form two, akidai kuwa hapandishi, ni kweli hakuwa akifanya vizuri darasani. Akawa ni mtu wa kwenda minadani tu. Mwaka 2018, aliomba msaada wa sh...
41 Reactions
51 Replies
7K Views
Utangulizi: Mapinduzi ya Fedha za Kidijitali Katika karne ya 21, ulimwengu umeshuhudia mapinduzi makubwa ya kiteknolojia na kifedha yaliyobadilisha namna tunavyoelewa pesa, umiliki na uhamisho wa...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Nimekuwa nikifatilia matangazo ya magari kwenye platforms mbalimbali na kuna jambo ambalo linahitaji mabadiliko makubwa. wauza magari hawatoi taarifa muhimu za magari, kwenye tangazo wanaongea...
3 Reactions
9 Replies
327 Views
Habari! na Karibu, Leo kupitia video hii utajifunza Jinsi ya kutumia huduma ya usajili wa kampuni kwenye mfumo wa BOS unapotaka kufungua kampuni yako. Baada ya kuingia kwenye mfumo utabofya...
4 Reactions
4 Replies
171 Views
Usafiri wa Anga Kwa Air Tanzania Dar es slaam to Mwanza gharama yake sio ya uchumi wa Mtanzania Tiketi zipo juu sana ukilinganisha na kipindi cha miezi sita nyuma Sababu itakua nini? au...
3 Reactions
10 Replies
346 Views
Waziri Kivuli wa Ujenzi, Uchukuzi na Miundombinu kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, ameishutumu Serikali kwa kuwadanganya wananchi kuhusu ufanisi wa Bandari ya Dar es...
0 Reactions
5 Replies
287 Views
Back
Top Bottom