Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,894
- 3,657
Kichwa cha uzi cha husika, nipo njia panda kwa sababu sina uzoefu bali naamini humu JF (kichaka cha maarifa) nitapata ushauri bora.
Natarajia kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji lkn ili ni speed up production na profit generation nimewaza nipate incubator ya angalau maya 200-
Kuna mashine za incubator za kichina na hizi walizosuka wabongo lkn pia hizi za kichina ipi ni brand bora maana nikiingia mtandaoni naona kila mmoja anavutia kwake.
Natanguliza shukran zangu za dhati kwako mshauri nami naahidi kuufanyia kazi.