Habari wana JF.
Ningependa wataalamu wa uchumi wanijuze juu ya athari ya msukosuko wa kifedha ulimwenguni ulioanzia Marekani umesababisha kipi kati ya Economic Recession au Economic Depression...
Wana-JF
heshima mbele,
mimi nitatatizwa na kitu kimoja ambacho nimeona ni vema tukijadili. Kila siku ukienda mitaa ya kati (City centre) utaona kuwa si rahisi kupata maegesho ya gari. Sasa mimi...
Niliamua kufuatilia mwenyewe ndani ya jengo hilo kujua hasa kuna nini kinaendelea. Bahati mbaya kufika hapo nikaelezwa kuwa wahusika wapo ghorofa ya 9 ndani ya jengo hilo, nikaingia ndani ya...
[ Ngorongoro on Unesco`s axing list? ]
Ngorongoro on Unesco`s axing list?
2009-05-04 20:23:38
By Adam Ihucha, Ngorongoro
The United Nations Educational, Scientific and...
Jamali mali yetu inaondoka hivyo! Wakati tumezama kwenye ubishi wa Mengi-Rostam-Manji, jamaa wanaendelea kuvuna huko Buzwagi!
Sijui hii ishu iliishaje? Siye wengine ni wapiga filimbi, wenye mbio...
Ndugu zanguni kuna mambo mengi kuhusu uwekezaji katika nchi hii yananitatiza sana an kunikatisha tamaa kabisa .Hapo nyuma nilikuwa nasikia tu stories kuwa wawekezaji (hasa wale ukweli) wengi wao...
How Dar lost out on second fire station in bungled privatisation
By JOSEPH MWAMUNYANGE and WILFRED EDWIN
Posted Sunday, April 26 2009 at 09:41
Lands Minister John Chilligati (right)...
Pork producers scramble as swine flu scares consumers
by Mark Steil, Minnesota Public Radio
April 28, 2009
Embed | Help
Copy and paste the HTML below to embed this audio onto your web page...
ARVs that the firm was set up to produce. Photo/FILE
InterChem Pharma Ltd, the Moshi-based pharmaceutical firm owned by media mogul Reginald Mengis younger brother Benjamin, has been placed...
Norwegian Contractor Participated in Controversial Mine 14.04.08 Three years after 52 mine workers are supposed to have been buried alive in a gold mine area in Tanzania, the Norwegian...
Wana JF,
Hivi mna habari hapa nchini kuna utwaaji ardhi za wananchi kiholela (land redistribution) ukihamisha high value land kutoka kwa wanyonge na maskini kwenda kwa viongozi, matajiri na...
Mahakama ya Bima inatarajiwa kuanzishwa nchini wakati wowote kuanzia sasa. Katika mahakama hiyo, wateja watafungua kesi iwapo hawataridhika na malipo mbalimbali ya bima wanayolipwa na kampuni...
Habari wakulu,
Sorry niko kwenye transport industry natafuta connections kama mtu anaweza kunisaidia za kusafirisha mizigo iwe ndani ya nchi au nje pia kokote kule. Tunaoperate hizi trucks...
This is an interesting article in which I found many parallels in the society I am living in right now. What insights can we deduce from the article and relate them to the economic and social...
Kwa kweli nilikuwa kama mshabiki mkubwa wa DECI lakini nakiri kukufahamu...naomba hawa watu yaani serikali kama inavyowanyanyasa wananchi kwa nini wale viongozi waliokuwtwa na million 100/300...
I need an investor who can join me and build apartments(hotel) on my low density plot-3 minutes walk from Sea Cliff Hotel.
I have a house in it. Any other different proposal is also welcome.
My...
Ndugu Wanabodi,
Baada ya kutokea kwa mabadiliko ya hali ya hewa, yaliyoambatana na ukame uliosababisha, mnamo mwaka 1994, mgao wa umeme ulioisababishia Tanzania athari kubwa ya kiuchumi, kwani...
Yusuf Manji back in action: Continues to lock horns with TRA over outstanding 1.3bn/- tax bill
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
DAR ES SALAAM-based private company Quality Group Limited is...
Ever thought of what may happen tomorrow if you get laid off or if you retire? Mass retrenchment and forced retirement are now being employed as quick measures to reduce spending in companies...