Buzwagi waanza Kuzalisha Dhahabu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Buzwagi waanza Kuzalisha Dhahabu!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kakalende, May 4, 2009.

 1. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Jamali mali yetu inaondoka hivyo! Wakati tumezama kwenye ubishi wa Mengi-Rostam-Manji, jamaa wanaendelea kuvuna huko Buzwagi!

  Sijui hii ishu iliishaje? Siye wengine ni wapiga filimbi, wenye mbio waanze kufukuza hapahapa tuone kama kodi yetu imelipwa au ndiyo yaleyale ya siku zote.

  Sourse: Minining Weekly
   
Loading...