Natafuta Deal ya Transport na Kuuza Scania Trucks | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Deal ya Transport na Kuuza Scania Trucks

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Bobby, Apr 25, 2009.

 1. B

  Bobby JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Habari wakulu,

  Sorry niko kwenye transport industry natafuta connections kama mtu anaweza kunisaidia za kusafirisha mizigo iwe ndani ya nchi au nje pia kokote kule. Tunaoperate hizi trucks kubwa aina ya Scania. Nitashukuru kama yule anayehisi kuna opportunities mahali akinipm. Nitatoa details zaidi kwenye hiyo pm.

  Kuna thread ya nyuma kidogo bahati mbaya sijaipata na sikumbuki jina la aliyeiandika. Kuna mtu alikuwa disappointed na one of the banks nadhani ambako alikuwa anataka credit support kwa ajili ya kununua truck na alikuwa na contract tayari ya transport. Kama ni wewe hujapata bado hiyo support au ulipata but unataka nyingine please naomba tuwasiliane kwani naweza kukupa truck at a very reasonable price ukatoa deposit then ukalipa balance kwa instalment.

  Ahsanteni.
   
 2. S

  Solaris Member

  #2
  Apr 29, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bobby unaweza kutupa contact zako ikiwemo email na namba ya simu for further talks kuhusiana na hili swala.
   
 3. B

  Bobby JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Habari Solaris na wengineo!

  Solaris thanks for your inquiry na you are more than welcome. Email address yangu ni bgmajila@yahoo.com na simu no ni +255 754 433932.

  Karibu sana wakulu,
  Bobby.
   
 4. S

  Solaris Member

  #4
  Apr 29, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks Bobby we will keep in touch got your number and email address
   
 5. B

  Bobby JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  That's great Solaris. Like I said earlier on, you are more than welcome to do business with us.


   
Loading...