Nini Madhara ya Msukosuko wa kifedha Ulimwenguni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini Madhara ya Msukosuko wa kifedha Ulimwenguni?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kichankuli, May 6, 2009.

 1. Kichankuli

  Kichankuli JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2009
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Habari wana JF.

  Ningependa wataalamu wa uchumi wanijuze juu ya athari ya msukosuko wa kifedha ulimwenguni ulioanzia Marekani umesababisha kipi kati ya Economic Recession au Economic Depression? katika uchumi wa dunia kwa ujumla
   
 2. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Heh Kichankuli,

  Kila siku nasoma yahoo news na ninaona maraisi wa nchi kama USA, USA,GERMAN, JAPAN wanapotoa matamko kuhusu hatua wanazochukua kunusuru nchi zao na Recesion. Nasikia mara wamepunguza makato ya kodi kwa viwanda vya ndani au kilimo, pia wamekata/wamepunguza matumizi ya serikali. Pia wamepunguza mishahara na posho za viongozi.

  Sasa hapa Tanzania tu nasikia mambo ya mapapa, nyangumi. Sioni la maana. KWanza namuunga mkono Cheyo kwa kusema hao watuhumiwa wakamatwe kwanza, pia wavuliwe uanachama kwanza halafu ikiwa watathibitika kuwa si wahalifu, ndipo waombe uanachama upya. Mahakama pekee ndio inaweza kuwasafisha.

  Hapa Tanzania sioni mikakati ya kiuchumi, ni siasa tu.

  Nakumbuka wakati marekani inaanza kupatwa na misukosuko ya kiuchumi, Mh MKulo na Prof Ndulu walisema msukosuko hautaikumba Tanzania. Wanaongea tu basi ili mradi siku imepita na swali halipo.

  So natoa wito kwa viongozi kuacha siasa kwenye issue muhimu za uchumi.
   
 3. Kichankuli

  Kichankuli JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2009
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Mpadmire,

  Umetoa maelezo sawa lakini hayajajikita kwenye hoja niliyotaku kujibiwa. Tafadhal Mchumi anayeweza kunieleza iwapo baada ya matatizo ya mfumo wa kifedha ulimwenguni, uchumi wa ulimwengu umekubwa na nini kati ya vitu hivi viwili:

  Economic Recession au Economic Depression?
   
Loading...