Blackberry world edition - verizon

KASRI

Member
May 2, 2009
93
22
Wadau Naomba Msaada.

Nina BlackBerry (world edition; Verizon) niliyopewa zawadi na rafiki kama miezi mitatu sasa.

Kwa kuwa ni mara yangu ya kwanza kumiliki Blackberry, ilinichukua muda mrefu kuizoea (kupiga simu, sms, ku-recharge etc). Baada ya kujiona nimeizoea nikaenda ofisi za ZAIN kuhitaji kujiunga na mtandao wa internet lakini sikufanikiwa. Nilielezwa kuwa hawataweza kuniunganisha kwa kuwa hiyo BB imefungiwa.

Ombi langu kwenu ni kufahamu kama kuna namna yoyote ya kufanya au mtandao mwingine unaoweza kuniunganisha.

Natanguliza shukurani.

Ombi langu kwenu
 
POLE SANAA. je hukuwauliza kama wanaweza kukufungulia hapo zain?

nadhan wao wanaweza kukupa maelezo mazuri zaidi.
 
BlackBery za namna hiyo inabidi uirudishe country of manufacture/purchase waiunblock kwanza. Ni jambo la kawaida kwa smartphones nyingi na iPhone. Njia pekee ni kuwasiliana na rafiki yako arudi alipoinunua waifanyie hayo marekebisho kama unataka kutumia BB service.
 
Asante DRV kwa ushauri.
Kama kuna namna nyingine ya ku - unblock tafadhali wadau mnisaidie.
MAde in Mexico; Purchased from US; aliyenipa ni mbongo anayeishi Dodoma alikuwa huko US kwa tour tu. Sidhani kama ataweza kuirudisha yeye.
Msaada please!

Asanteni
 
Wadau Naomba Msaada.

Nina BlackBerry (world edition; Verizon) niliyopewa zawadi na rafiki kama miezi mitatu sasa.

Kwa kuwa ni mara yangu ya kwanza kumiliki Blackberry, ilinichukua muda mrefu kuizoea (kupiga simu, sms, ku-recharge etc). Baada ya kujiona nimeizoea nikaenda ofisi za ZAIN kuhitaji kujiunga na mtandao wa internet lakini sikufanikiwa. Nilielezwa kuwa hawataweza kuniunganisha kwa kuwa hiyo BB imefungiwa.

Ombi langu kwenu ni kufahamu kama kuna namna yoyote ya kufanya au mtandao mwingine unaoweza kuniunganisha.

Natanguliza shukurani.

Ombi langu kwenu
Hebu jaribu hapa:

How to Unlock a Verizon Blackberry Cell Phone | eHow.com
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom