Nimekuwa nikipata shida kufahamu kampuni gani ya simu ambayo inafanya vyema kwasasa katika Telecommunication Industry kati ya VODACOM,AIRTELL NA TIGO...Naomba mwenye sufficient and reliable data...
28 March 2011
The World Bank has approved an International Development Association (IDA) credit of $30 million (over Tsh42 billion) to support the development of a national statistical system...
Mjadala wa dawa ya Loliondo umefika mahali umekuwa mjadala wa kisiasa. Nafasi ya waganga, serikali na wananchi haiko wazi tena. Serikali inalaumiwa kwa nini haijaingilia/haijasema...
WAKATI serikali ikikemea vitendo vya ubadhilifu wa fedha na mali ya umma kuna taarifa kuwa halmashauri ya wilaya ya Pangani inakabiliwa na tuhuma ya kuuza Chuo cha Uvuvi kwa gharama ya kutupa ya...
Baada ya kutafakari karibu kwa robo ya maisha yangu,nimegundua kuwa maendeleo ya nchi kama Tanzania hayatakuja ikiwa tutaendelea kuhisaniwa kwa kiwango kilichopo.Viongozi wetu wanajisahau mno.Si...
kiraracha anapambwa sana na vyombo vya habari vya ccm. tena sasa cccm wanahakikisha kiraracgha anatangazwa habar zake kila kona hadi bbc. yaani kwenye kamati ya hesabu za mashirika ya serikali za...
CHADEMA imewaweka kitimoto madiwani wake watatu wa Manispaa ya Arusha kwa tuhuma za kukisaliti chama hicho katika hoja ya kumtambua meya wa jiji hilo, Gaudence Lyimo.
Habari zilieleza kuwa...
Katika siku za karibuni viongozi hawa wamekuwa wakitoa kauli mbalimbali za kuishambulia chadema,eti chadema inahatarisha amani nchini,lengo lao kuu limekuwa ni kuinusuru serikali ya JK na CCM...
I really need to know how did the owner of Jamiiforum and Zoomtanzania became very successfully in such a short time?Naombeni siri ya mafanikio yenu jamani.
Mon Mar 28, 2011 11:17am GMT
March 28 (Reuters) - Canada's Canaco Resources Inc said drilling at its fully-owned Handeni gold project in Tanzania has shown there are gold deposits close to the...
Utafikiri Watanzania wote hatuna majibu ya matatizo tulionayo. Hii serikali siku zote ina-assume sisi sote watanzania tunataka umaskini wakati nafasi ya kujadili policies zetu na future ya Taifa...
Posted Monday, March 28 2011
Although William Butler Yeats's poem, "Second Coming" has to be appreciated for its frightening apocalyptic imagery, Chinua Achebe's novel, Things Fall Apart...
Sub
Tanzania President Jakaya Kikwete.
Monday, March 28 2011 at 00:00
I get teased all the time about my apparent crush on Jakaya Kikwete, our own baby-dandling, good-lookin'...
Kila uchao yanaibuka, jana nimesikia watu wakidai kuwa hata ile Hoteli ya Mwanza ya Malaika inamilikiwa na JK, na kwamba amemkabidhi mtanzania mwenye asili ya Kiasia kusimamia. Wenye data tupeni...
Wajanja wachota mamilioni NSSF Send to a friend Sunday, 27 March 2011 05:43 Frederick Katulanda, Geita
WAKATI shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)...
*Watoa taarifa za uongo kwa vyombo husika
*Wabadili majina ya kampuni wanazomiliki
SERIKALI imeombwa kufanya uchunguzi wa kina ili kuweza kubaini wanunuzi wa
madini ya dhahabu na almasi mkoani...
Outsourcing office cleaning or contract cleaning has many benefits for companies and there are numerous reasons why it could help a company actually do better at what it does.
Thinking you or...
Wana JF naomba kujua kuna taarifa zilitangazwa wakati waziri wa uchukuzi kwa jina sifahamu ila nilisikia kwenye magazeti na TV kuwa YONO wastop kukamata magari na pia aliwapa kazi idara husika...