Mzee wa kiraracha anataka kurudi kwa kasi! Anapigiwa debe na CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee wa kiraracha anataka kurudi kwa kasi! Anapigiwa debe na CCM?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ng'wanangwa, Mar 29, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  kiraracha anapambwa sana na vyombo vya habari vya ccm. tena sasa cccm wanahakikisha kiraracgha anatangazwa habar zake kila kona hadi bbc. yaani kwenye kamati ya hesabu za mashirika ya serikali za mitaa, kiraracha anatangazwa sana kuliko ata dr. slaa aliyefanya kazi kwa itija kubwa enzi zake. lakini huyu kiraracha naona anataka umaarufu tu kutoka kwa bosi wake aliyemgharamia matibabu-ccm. kiraracha analipa fadhila. tena kwa kwa kafu na klipumba hawana chao, baada ya kuolewa ana cc,m sasa kiraracha anaweza kugombea urais 2015 kwa pesa za ccm. yetu macho.
   
 2. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kama anafanya kazi akisifiwa kuna ubaya gani? unataka Slaa asifiwe kwa kazi gani anayoifanya sasa? kama ni ubunge si aliacha mwenyewe kuna mtu alimlazimisha kuachia ubunge? Yaani unataka mtu asifiwe tu bila sababu? au unataka asifiwe kwa kuandaa maandamano yasiyo na kichwa wala mguu?
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Tatizo siyo Kiraracha. Kila mtu anajua huyo ni kwishney. CCM wanataka ku "change the subject." Wanakerwa kuona Chadema kwenye kurasa za mbele. Waache wamsifie, wampambe, wamtunuku, wamjenge. Hawezi kufunika moto uliowashwa na Chadema. And that is a fact.
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  mbona alikuw hasifiwi 1995 na 2000?
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Kwani kazi anayofanya huyu mzee inahitaji mtaalamu kutoka nje kuja kukuonesha? mbona ipo wazi sana.
  Na tangu lini BBC inamilikiwa na CCM
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  amewekwa kipropagandapropaganda kwenye hiyo nafasi. analipa fazila za kutibiwa nje ya nji na baba mwenye nyumba.
   
 7. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Its a matter of buying people's mind.
   
 8. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  watu wa humu JF mna matatizo sana

  mtu akifanya kazi lawama asipo fanya kazi lawama mnataka nchi hii iweje?

  Mzee wa kiraracha anajitahidi kwa uwezo wake kuwachemsha watu wa kwenye halmashauri waache kutafuna pesa za umma na tumwunge mkono kwa kila hali.
  siyo kuwa na mawazo mgando kuwa kwa sababu ya CCM. wafurukutwa wa CDM mnamatatizo sana na mtauta chama chenu
   
 9. J

  Joblube JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hayu kashajifia pia nafikiri na waliomchagua wanamatatizo makubwa kumchagua kihiyo
   
 10. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #10
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Tunaelekea kubaya. Mrema nafanya kazi ya kukemea ufusadi huko serikali za mitaaa, leo wanaJF tunaanza kusema anatumwa na matusi lukuki. Hivi tunataka nini, hatueleweki humu ndani? Nadhani hapa suala siyo kupigiwa kampeni na CCM labda suala ni style ya utendaji kazi wake. Yeye binafsi ni mtu wa vyombo vya habari tangia akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani sasa leo kuonekana kwenye vyombo vya habari inakuwa nongwa ooo CCM nadhani si kweli. Suala ni kwamba anayoyafanya ikiwa ni pamoja na kumuagiza DCI kuwakamata watu yapo chini ya mamlaka yake kisheria kama Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge? Kama yapo kisheria mimi naona anafanya kitu ambacho tunakipigania hapa: kupambana na Ufisadi na kama hafanyi kwa mujibu wa sheria basi hilo ni tatizo lingine.
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Hivi analipaje fadhila, kwa kupambana na ufisadi? Miye ningekubali kwamba analipa fadhila kama angekuwa anafunika uozo ulipo kwenye Halmashauri. Sasa anakemea na kuchukua hatua dhidi ya mafisadi ndani ya Halmashauri, wewe unasema analipa fadhila (fazila) za kutibiwa nje,alaaah. Mbona tunakuwa na double standard?
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  nina mashaka naye tangu asimame mjengoni na kuanza kujidai eti yeye ndiyo anafaa kuwa kiongozi wa upinzani bungenoi. mamluki sana yule kiraracha.
   
 13. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Hivi watanzania mnataka nini ?.Hakuna jambo jema mpaka utoke CDM !.
   
 14. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  ....WATANZANIA!!!
  Wakishapenda kitu hawahitaji kuona kitu tofauti, wanatamani king'ae hata kama kimefifia! Mzee wa kiraracha anatambulika utendaji wake pindi akipata nafasi (wamuache asafishe nyota) kwani ilikuwa nafasi yao na hawakuitumia vema.. wakati CDM wako kwenye malumbano na CUF mzee wa kiraracha anapiga bao la kisigino... Mwisho wa siku atajionesha nini ameifanyia nchi huku wengine wakijisifia kwa ziara na maandamano ya nchi nzima!!
   
 15. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  inahitajika matarumbeta ili vilaza waamke!
  wengi wamebaki wanatazama vyama mfu vyao badala ya kuitazama tanzania!
  Wamesahau vyama vinapita lakini Tanzania itaendelea kuwepo...
   
 16. C

  Chamkoroma Senior Member

  #16
  Mar 29, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu naingia na mimi kwenye uwanja huu si kwa ubaya ila kuimarisha ukweli na uwazi siyo (mguvu mpaya, nk) falsa ya mkapa itadumu kuwa ya kweli, kuhusu mzee wa kiraracha, nataka kusema kuwa c vizuri kusema kuwa anajipendekeza lkn huyu mtu kwa wale wa enzi zake ni kweli anafanya kazi na toka ametoka kuwa waziri wa m/ndani haja wahi tokea mtu km yeye, ambaye anaweza kusema kitu kikafanyika, majambawazisugu yanamjua sn, hata anapofanya kazi kwa kasi na viwango vinavyo takiwa tuseme kuwa hawa ndiyo watu wachache wanaotakiwa kufanya kazi, km Mwakiembe walivyofanya kazi kwa uzuri wto, ccm haipendi kuona watu wanaofanya kazi kama yake,kwa uchungu wa nchi yetu, hivyo basi tusianze kutia mchanga upishimzuri wa TLP nakusema c CDM! yatupasa kufanya kwa ajili ya watu c chama zaidi, na siku ya mwisho TZ iwe na sifa usoni mwa dunia kuwa hatuko tayari kwa ufisadi wa namna hii.
   
 17. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Ukifuatilia sana hakuna kazi yoyote anayofanya na kamati yake ni matangazo tuu.
   
 18. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Hakun uozo wowote anaoufunua. Hizo taarifa ni zile zilizoekwa wazi na Mkaguzi wa hesabu za serikali. System ya Tanzania hairuhusu kushughulikiwa kwa wizi huo. Ndio maana hata baada ya kujitangaza kugundua wizi hakuna hatua zozote zin zinazochukuliwa. Hata Kikwete katika ziara zaek za wizara alionyesha kufahamua kuwa yapo malipo kwa watumishi hewa, hatua gani ilichukuliwa?
   
 19. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamani mnapoteza muda kujibishana na haya mazezeta yaliyokunywa damu ya chadema. uoni wao nimfupi sana na kuelewa kwao huwa kunachukua muda mrefu mno. A. Mrema ni mchapa kazi tangia enzi hizo wala hajaanza leo nahata mpaka kwenda upinzani kulitokana na uozo wa ccm. Narudia, hakuna mtu kwenye inji hii asiyejua utendaji wa Mrema isipokuwa hayo mavuvuzela ya chadema tu. Period.
   
Loading...