Lipumba,mbatia,Mrema,na Cheyo kuingia katika meli inayozama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lipumba,mbatia,Mrema,na Cheyo kuingia katika meli inayozama?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Nanyaro Ephata, Mar 29, 2011.

 1. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Katika siku za karibuni viongozi hawa wamekuwa wakitoa kauli mbalimbali za kuishambulia chadema,eti chadema inahatarisha amani nchini,lengo lao kuu limekuwa ni kuinusuru serikali ya JK na CCM
  Pamoja na wao kufikiri zimwi likujualo halikukuli ukaisha,je wana uhalali wa tena wa kushirikiana na ccm kuishambulia chadema mpinzani mwenzao na wao wakajiita wapinzani?
  Wamedhihirisha kukerwa na umaarufu wa chadema kuliko ufisadi wa ccm
  watahukumiwa na historia
   
 2. J

  Joblube JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Consider them dead
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  The uttering deads!
   
 4. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,293
  Trophy Points: 280
  Mkataa umoja mchawi...
  na kila mtakia mama wa kambo shari, balaa humfika mamae!
  Wanasiasa wa Tanzania ni Wabinafsi, walevi wa madaraka na sifa...
  hapana tofauti baina ya hivi vyama venu vya siasa mnavoviabudu na kuvitukuza....
  VYOOTE NI USANII MTUPU kama ule WIMBO WA MJOMBA!!
  BADILIKENI ILI VYAMA VYENU VIBADILIKE...
  KINYUME NA HIVYO MTAENDELEA KUTOFOANA MACHO CCM INAPETA!
  Mwisho wa siku mtakuja na singo iliyozoeleka "tumeibiwa... tumechezewa rafu!"
   
 5. escober

  escober JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  This people are dead and gone
   
 6. e

  emalau JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,177
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Wanachofanya kinastahili pongezi kwa kuwa kinatupunguzia utitili wa vyama vya briefcase, Hii ina maana tutabaki na vyama viwili tu yaani CCM na CHADEMA just like Democrat and Republican. Kwa maneno mengine ni kwamba CUF, NCCR, TLP, UDP vimejifia vyenyewe rasmi.

  Sasa nimeanza kukubali maneno ya John Tendwa aliwahi kutamka huko nyuma kwamba hata vyama vya upinzani wakati mwingine huwa vinaoneana wivu !
   
Loading...