Halmashauri na YONO kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halmashauri na YONO kulikoni?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Gerald, Mar 27, 2011.

 1. Gerald

  Gerald JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wana JF naomba kujua kuna taarifa zilitangazwa wakati waziri wa uchukuzi kwa jina sifahamu ila nilisikia kwenye magazeti na TV kuwa YONO wastop kukamata magari na pia aliwapa kazi idara husika kusimamisha mkataba na YONO na jukumu zima kubeba wao sasa imekuaje tena wamerudi barabarani? na kwa mikataba ipi?

  sasa kinachofanyika ni iki wakikukamata wanakuandikia Faini
  1. Ukalipe halmashauri 2.0cc faini yake ni 45,000 then unarudi YONO nao unawalipa 29,000 ndio unapata kibali cha kuchukua gari yako pia cc zikiwa juu kama 2.5 cc ni 90,000 na yono nae anakutoza yake

  Maswali yangu ni haya
  1. kwanini mamlaka husika wasifanye hiyo kazi? na walishambiwa na waziri husika wasitisha mkataba na YONO
  2. kwanini ulipe faini kwa kampuni mbeli tofauti?
  3. je sheria inasemaje kwa wano jua naomba mtujuze

  Je hii ni haki wana JF? anaye jua zaidi huu udhalimu atujuze
   
Loading...