Madiwani wa Chadema wawekwa kitimoto kwa kukisaliti chama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madiwani wa Chadema wawekwa kitimoto kwa kukisaliti chama

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mshume Kiyate, Mar 29, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  CHADEMA imewaweka kitimoto madiwani wake watatu wa Manispaa ya Arusha kwa tuhuma za kukisaliti chama hicho katika hoja ya kumtambua meya wa jiji hilo, Gaudence Lyimo.
  Habari zilieleza kuwa madiwani hao walijadiliwa katika kikao kilichofanyika kwenye hoteli ya Bristol chini ya mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe na katibu mkuu Dk Willibrod Slaa. Baada ya kukiri makosa hayo katika kikao hicho kilichofanyika Machi 24 mwaka huu, madiwani hao waliomba radhi kwa maandishi na kuahidi kutorudia kitendo hicho kilichochukuliwa kama usaliti wa chama.
  Taarifa zimewataja madiwani hao kuwa pamoja na diwani wa kata ya Sekei, Chrispine Tarimo, diwani wa kata ya Eunutoto, Elbariki Malley na diwani viti maalumu, Rehema Mohamed. diwani Tarimo alisomewa tuhuma za kukisaliti chama kuhudhuria kikao cha kamati ya Elimu,Afya na uchumi. Elbariki yeye alisomewa tuhuma za kuambatana na Meya wa Arusha kwenye ziara ya kutembelea ujenzi wa barabara.
  Source: Mwananchi Machi 29, 2011
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ni kweli maendeleo yanahitajika kwenye kata zetu, lakini msisitizo ni kwamba suala la umeya lazima litolewe ufumbuzi kwanza, maana ndiyo linalobeba sura halisi ya Demokrasia Arusha!
  Kukiuka msimamo wa pamoja ni Usaliti, wanastahili hatua za kinidhamu!
   
 3. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kizuri na cha muhimu ni kutambua makosa yao

  Hili ndilo ambalo wanasiasa wengi sasa hivi haweatambui, wanajoina vichwa ngumu

  Safi sana madiwani na hongereni viongozi wa CDM kwa ujasiri wa kuwachukulia hatua wanaopinda kwenye mstari...

  hili litakipa chama uimara na sio kuchekacheka na wanaoharibu chama kama jamaa yangu fulani hivi aliegeuza chama jalala kwa kusomba kila kundi la watu...wasaliti wamo, wanga wamo, wezi wamo, viriba timba vimejaa kibao humo...kama kokoro lisilochagua cha kuvua
   
 4. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mimi nadhani ni vema walasusia vikao vinavyoendeshwa na meya lakini vya kamati ni vema wakaingia wananchi waliwachagua wakawe madiwani sio meya , siasa zenu mauti ya wananchi wa jiji la arusha
   
 5. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  tofauti za chama zinajadiliwa na vikao sio magazeti. keep it up CHADEMA
   
 6. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Safi sana huo ndio ukweli wenyewe.
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Cdm wawe makini sana!
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  mwenzenu mtoa mada amejipinda kweli kuiandika hii ili wale mapro CCM waje na comment za kejeri matokeo yake thread imemdodea, pole chatu dume, kwani huwa hampigiani simu na akina maji mshindo, kupen'ge, kashaga, nduka & co? maana labda wenzako leo hawajaingiziwa bado mgawo wenu wa internet bundle, maana Makamba anahisi kazi mliopewa haina tija kwenye forum ya wasomi, zaidi zaidi mnakitia hasara chama tu, na siku hizi ruzuku imepunguwa
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Rev Masanilo mbona unaangaika hivyo, mimi ni Intependent thinker hiyo ni juu yako wewe kuongea unachojisikia msalimie sana Max nsimba
   
 10. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  This in unwanted person here.
  Nijuavyo mimi chadema ni chama cha kiimla. wote lazima mfyate mkia. I will never be ready. Ukiwa kiongozi basi wewe ndo mwenye akili kuliko wachini yako na wala hukosei kama malaika. kama jeshini vile!
   
Loading...