Machimbo ya chuma ludewa. Connections please!

Nyamgluu

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
3,160
1,717
Wakuu naomba connections za wachimbaji wadogo kule ludewa. Kuna wawekezaji wanataka kuja kuwekeza nahitaji kuwaunganisha.
 
Navyojua mimi hamna chuma Ludewa ambacho kiko idle and available kwa ajili ya wawekezaji wengine other than Portion aliyopewa MMI (Shubash Patel) na kiasi kilichobaki kipo kwa ajili ya NDC na wawekezaji ambao wamesha kuwa identified. Unaweza tafutiwa chuma kutoka maeneo mengine ya Tanzania. 0655 222588
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom