Wahisani wanatufanya kitu mbaya mno | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahisani wanatufanya kitu mbaya mno

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by VUTA-NKUVUTE, Mar 29, 2011.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Baada ya kutafakari karibu kwa robo ya maisha yangu,nimegundua kuwa maendeleo ya nchi kama Tanzania hayatakuja ikiwa tutaendelea kuhisaniwa kwa kiwango kilichopo.Viongozi wetu wanajisahau mno.Si wana uhakika kuwa kuna mtu atatoa fedha? Wahisani wangetuacha kidogo tujipime uwezo wetu.Changamoto tutakazozipata zitatufanya tuwe na adabu na hehima kwa kila mmoja.Viongozi watakuwa wabunifu na wachapakazi tafauti na sasa ambapo wao ni wafanya anasa wakubwa! Wahisani watuache kwanza.Watuache tujishikishe na tushikishane adabu.Kipato chetu tunacho,misaada ya nini sasa? Amini nawaambia,haitaendelea nchi hii hadi tutakapotalikiwa na Wahisani!
   
 2. o

  ommy15 Senior Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  its true man,huu ujinga nchi maskini viongozi wanatembelea magari ya mamilioni ya shilingi,huu si utani na maendeleo ya nchi?
   
 3. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  iko siku....
  dhahabu na madini mengine vikishaisha.. hutoona misaada wala uhisani!
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  misaada ikikatwa wataamia kwa wewe mwananchi ushingae kodi ikawa 50%!!

  utajuta
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wahisani wapi watuache?
  Unaongelea hawa wanaochimba madini Geita, North Mara, Resolute et al?
  Hawawezi kufanya kosa la kuacha kusapoti bajeti yetu, maana wanafaidika mara 70 ya wanachotoa!
  Kutoa kwao msaada kunaandamana na 'Mkono Uliofichama'...
  Cant you think mtu anaruhusiwa kujenga kiwanja cha ndege eneo la machimbo ili aondoke moja kwa moja na maadini hadi kwao...!!
  Hata ungekuwa ni wewwe utaacha kutoa bilioni 5 kwenye bajeti ya watu wa hivo?
   
 6. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Sasa tufanyeje? Tumfanyie nani?
   
 7. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja, wahisani waondoke, hawa ni wanyonyaji tu hamna lolote. lakini nasisi pia tutapata akili za kutafuta njia mbadala kupitia vyanzo vyetu vilivyo natija.
   
 8. k

  kiloni JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu. Vichwa huwa vinapasuka umaskini ukiandama.
  Hata Kibaki alikataa uhisani alipochukua Kenya. Huu upuuzi wa kujikomba na kupigana kwa sababu ya UDINI na Ukabila vitaisha. Shida zinaleta solidarity.
   
 9. Ba Martha

  Ba Martha JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hapo ndo huwa sielewi maana ya hili neno INDEPENDENCY....
   
 10. T

  Tata JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,740
  Likes Received: 658
  Trophy Points: 280
  Kuna jingine lisiloeleweka linaloitwa FREEDOM. Hivi mwaka 1961 Tanganyika ilipata Independence au freedom?
   
Loading...