Habarini wanajamvi.
Ninaombeni msaada Wa kimawazo na ushauri kwa wenye uzoefu na hii biashara. IPI bora Nina 40M ninafikiria kuiwekeza kwa biashara ya huduma za usafirishahi Wa abiria.
Hapa...
TANGAZO TANGAZO TANGAZO
Anatafutwa muwekezaji kwa ajili ya kumuwekea nyumba kubwa ina aprtment mbili (Chumba Self, Sebule Jiko Kila Upande) tayari ina wapangaji
Kiasi Kinachotakiwa: Milioni 5...
Salaam kwenu wakuu. Msaada wenu naomba mniambie Brand gani nzuri ya godoro na vipi kuhusu hii brand ya Gold sun na Breez,aliyewah kutumia alete ushuhuda
Nina hoja kuhusu sekta ya madini ya kati (medium-scale mining), kuna malalamiko kwamba baadhi ya wageni wanafanya kazi migodini wakitajwa kama “experts”, lakini kuna maswali kuhusu qualifications...
Habari wanaJF,
Hebu niulize swali la msingi kwa wamiiki wa biashara👇
Ukiwa nyumbani, safarini au nje ya nchi—unaweza kuona hali halisi ya biashara yako sasa hivi?
Kama jibu ni hapana, basi...
Unaweza kutengeneza milango mizuri, madirisha, mageti, grill, meza na bidhaa mbalimbali za chuma—lakini mwisho wa mwezi ukajiuliza: “Mbona nafanya kazi sana lakini biashara yangu haikui?”
Tatizo...
KAMA UNA MTAJI NA UNATAFUTA BIASHARA YA KUFANYA?
Umeshawahi kufikiri kuhusu biashara ya spea za pikipiki na bajaji?
Hii ni moja kati ya biashara zinazokua kwa kasi sana, kwani maelfu ya vijana...
Watu wengi wanaona ujenzi unaendelea kila mahali na kufikiria kuwa kufungua hardware moja kwa moja ni biashara yenye faida. Lakini ukweli ni kwamba, hardware yenye bidhaa nyingi si lazima iwe...
Habari wanaJF...
Oke! Baada ya salamu nirudi kwenye mada yangu, jinsi gani biashara ndogo ya tofali ilivyonipa faida kubwa kwa jasho na damu.
Miezi kama minne nyuma nilipata idea ya kuuza...
Hamjambo?
Kwenye harakati zangu za hapa na pale nimepata Milioni 2 ambayo sikuitegemea kama nitapata
Mimi ni mwanafunzi wa chuo na sijawahi kufanya biashara kabisa. Nimeshauriwa kuanzisha...
Biashara ya Bar ina changamoto sio poa
Hii biashara unaweza kukufirisi unalia
Faida sio kivile ila changamoto ni nyingi mno
1. Unahitaji uwekezekajo sio kinyonge, mzigo, Mziki, viti, jiko n.k...
Vibanda vya games vya mtaani, hasa fremu za PS, ni sehemu zinazopendwa sana na wezi
Wateja hao baadhi wakiwa wezi hupenda kupumzika vibanda vya ps lakini pia kufuatilia mazingira ya kutafuta...
Wadau habari za humu?
Naomba ushauri wenu kuhusu mjomba wangu mmoja amenishauri niingie kwenye biashara ya hisa za uchimbaji wa dhahabu. Anasema mfano ukiweka milioni 1, unaweza kupata hadi...
habari zenyu bhana.......dhumuni la uzi huu ni kuomba wadau wote tupeane nondo za jinsi ya kutumia ai kiuchumi na ai gani zinafaa ambazo zinaweza kutumika kama side hustle/kipato cha ziada au...
bonge la ofa ili hapa boss wangu
Pendezesha ofisi yako na hii mashine kazi inapiga muonekano inao achana na madesktop makuuuuubwa 😁
ndani ram 4gb storage 500gb intel core i5 gen ya saba
kioo...
Habari wanajamii,
Nimeshajenga software ya betting, system iko tayari kutumika. Kinachokosekana ni mtaji wa kuizindua sokoni.
Nilicho nacho:
• Platform kamili (technical upande wote...
Habari,wakubwa
Nataka kufanya biashara ya nguo za mtumba, naomba ushauri kuhusu biashara hiyo lakini pia vitu gani vya kuzingatia wakati wa kuchagua balo lenye nguo zenye ubora. Asanteni🙏
Moja ya swali muhimu la kujiuliza ni: “Nawezaje kuchagua kampuni bora ya kuwekeza?”
Leo tuzungumzie qualitative fundamental factors ambazo ni muhimu sana kwa wawekezaji wa muda mrefu wanaotaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.