Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Salam wakuu.kama heading inavosomeka hapo. Mwaka jana nilileta uzi wangu kuhusu biashara ya mbuzi na ng'ombe na nikaweka na no zangu. Basi kuna siku nikawa nimetulia tu mara kuna memba...
17 Reactions
27 Replies
1K Views
Ikiwa kuna mtu yoyote ana eneo la wazi linalofaa kwa carwash Nahitaji.Mahitaji yangu ni kukodi tu. Iwe Dar es salaam.
1 Reactions
0 Replies
55 Views
Salaam kwenu wakuu. Naombeni wazoefu wa biashara za nguo mnipe mbinu za kudhibiti wateja wezi. Anakuja kama mteja anaangalia nguo na hata kujaribu na mwisho anaondoka. Ukija kuangalia baadhi ya...
11 Reactions
31 Replies
474 Views
Dar es Salaam Kuchagua POS Bora kwa Maduka jijini Dar es Salaam Maduka yenye shughuli nyingi yanahitaji POS ambayo ni ya haraka, rahisi, inayopatikana mtandaoni, na muhimu kwa maamuzi ya kila...
1 Reactions
2 Replies
144 Views
Habarini, nimejiunga na forever living, na sasa ni manager, ila mda wa kufanya hizi biashara mm sina. Nlijiunga kwa ajili ya matumizi yangu tu. Ila naona kama kuna fursa ya kupiga hela. Natafuta...
8 Reactions
41 Replies
593 Views
Kama kichwa kinavyojieleza, karibuni nategemea kuwa Dar es Salaam. Kwa sasa nipo mkoani na ninafikiria kufungua workshop ya kutengeneza signage boards kwa kutumia material za acrylic. Nina uelewa...
1 Reactions
6 Replies
228 Views
Je ni kweli biashara ya vipodozi ina faida mara 3 hadi mara 18 kwa bidhaa moja. Mfano Bidhaa A ina faida mara 3 Bei ya mtaani rejareja 30,000 Bei ya chimboni ni 10,000 Bei ya bidhaa B faida ni...
8 Reactions
41 Replies
899 Views
Maisha ya biashara si ya watu wa moyo mwepesi. Kwa vijana wanaoanza na mitaji midogo, ni lazima kuelewa kuwa safari ya mafanikio haiandikwi kwa bahati, bali kwa juhudi na uamuzi wa kila siku...
0 Reactions
4 Replies
645 Views
Wakuu habari zenu? Leo nimekuja kujadili kwa undani biashara ya malori Ni wazi kwamba siku hizi sasa sie wakazi tunaotumia barabara ya morogoro road tutakuwa tumeshuhudia malori mengi yakitumia...
6 Reactions
119 Replies
68K Views
Hii ni biashara nyingine kichaa yaani unawekeza milion 100 Kwa ajili ya laki 1 Kwa siku na hiyo pesa unalipata kkwa mbinde na siku nyingine utaletewa mpaka elfu 50. Aisee huyu mtu anaakili...
35 Reactions
257 Replies
12K Views
Hi all, Hii itakuwa ni mara yetu ya tatu mfululizo kufanya mkutano/kikao hiki pale Lunch Time Hotel, iliyopo along Mandela Road opposite na Mabibo Hostel. Tunaita Chai day kwa sababu huwa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wa JF, habari ya wakati huu, mimi nimevutiwa sana na hii biashara ya kukopesha pesa ndogondogo mtaani, naomba mwenye ufahamu wa namna ya kupata vibali vy kukopesha anifahamishe ili nianze...
2 Reactions
7 Replies
307 Views
Afisa Tafiti na Uchambuzi wa Sera wa Taasisi ya WAJIBU ameonya kuwa uwekezaji usio na tija wa Tsh. Bilioni 41.56 kwenye masoko sita ya Temeke na Dodoma unahatarisha mafanikio ya DIRA 2050. Masoko...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
guest-1788672427
Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya hivi? Kufungua pharmacy au duka la hardware au kununua kiwanja? Kipi bora? Kununua kiwanja pia ni uwekezaji ? Nayo ni biashara?
16 Reactions
135 Replies
4K Views
Wholesale Used Cooking Oil Germany: A B2B Guide to Sourcing UCO from a Reliable Supplier Germany is one of the most active markets in Europe for waste-based fuels, and used cooking oil (UCO) sits...
0 Reactions
2 Replies
448 Views
Habari wa kuu nimeona capital ya hii biashara ya uwakala wa p2p katika binance wanadai ianzie 1000$ . Ila nina baadhi ya maswali naomba msaada wenu. 1. Vipi risk ya hii biashara? 2. Vipi wateja...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
  • Poll Poll
NYUMBA INAUZWA 💰 38M TZS 📍 KIGAMBONI MIKWAMBE 🥉 0652180400
2 Reactions
3 Replies
170 Views
Anonymous
Mimi ni mwanachama wa mifuko kadhaa UTT na kwamba UTT wamefanya maboresho ya program ambapo program iliyokuwa inatumika zamani imefungwa tangu tarehe 01/03/2026. Sasa tatizo lililopo ni kwamba...
11 Reactions
62 Replies
2K Views
  • Redirect
EKARI 11 zinatazama lami zipo chanika pugu matumiz makaz na biashara Price bilion 8 🇹🇿Call/WhatsApp +355758844717 #viralvideo #tiktokviral #viral_video_tiktok_treding #realestate #dalali
0 Reactions
– Replies
– Views
Habari wakuu, Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi. Kwa aliyekuwa anahitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha parachichi, sasa jibu limepatikana. Kuna shamba la ekari 60 Mufindi linauzwa kwa bei...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom