Uwekezaji katika Soko la Hisa la Dar es Salaam unahitaji mwongozo sahihi, akaunti rasmi ya uwekezaji, na dalali mwenye leseni. Dalali ndiye kiungo kati ya mwekezaji na soko. Kupitia dalali...
Habari wanajamvi,
Naomba kupewa muongozo kuhusu biashara ya kuuza maziwa fresh na mgando kwa mji wa Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na
Vifaa vinavyohtajika
Upatikanaji
Gharama za manunuzi
Na eneo...
Not every shilling invested is a shilling working.
Capital without strategy is just expense. Before you invest, you should know What is the return? What is the risk? What is the opportunity cost...
KWA MAHITAJI YA SIMU,LAPTOPS NA SPEA ZA MAGARI KAMA INJINI,GEARBOX,TAA,INJECTORS,SPARK PLUGS ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KUTOKA DUBAI NJOO UAGIZE NASI.
SALU DXBTZ GENERAL TRADING NDIO SULUHISHO...
Habari za wakati huu wanajukwaa la JamiiForums! 🇹🇿
Je, umekuwa na ndoto ya kuagiza gari kutoka Japan au nchi nyingine, lakini changamoto ya mtaji imekuwa kikwazo? Au tayari gari lako limefika...
Hello natafuta simu nzur kwa ajiri ya matumizi ya video shooting, ningependa kujua ni toleo lipi na Sony, lenye bei ya wastani, lipo vizuri zaidi,
Bajeti yangu ni 500k - 800k
Habari zenu waheshimiwa?
Naomba niwaeleze jambo moja muhimu ambalo linaweza kusaidia baadhi ya watu humu ndani wakajipatia kipato cha ziada.
Sisi ni HAMIA DIGITAL tunahusika na huduma za...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amesema Benki hiyo imeuza Tani 5.1 za dhahabu kati ya tani 35.4 ilizokuwa nazo kwenye akiba hadi wiki iliyopita, na hivyo kubakiwa na...
Habari,
Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala.
Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia...
Biashara ya huduma za miamala ya simu na huduma ndogo za kibenki ni miongoni mwa biashara zinazohitajika kila siku. Watu wanahitaji kutuma na kutoa pesa, kuweka fedha, kulipa bili, kununua...
Hoja kuhusu Kuboresha Huduma za Utumaji Fedha Kupitia Mawakala
Ningependa kutoa maoni yangu kuhusu huduma za utumaji fedha zinazotolewa kupitia mawakala wa mitandao ya simu. Kuna haja ya kuweka...
orodha ifuatayo ni ya mabilionea wa Tanzania katika soko la hisa la dar es salaam
1.patric schegg
$104m or tzs 275.99b
crdb na nmb
2. sajjad rajabali
$86m or tzs 226.44
nmb
3. Aunali rajabali...
Wengi wetu tulilelewa na wazazi waliofanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha tunapata chakula, elimu na mahitaji muhimu.
Baadhi yao walijenga nyumba, mashamba au biashara. Wengine hawakufanikiwa...
Kampuni ya ndege ya British Airways imetangaza kurejesha safari za moja kwa moja kati ya Uingereza na Tanzania kuanzia Mei 2027, hatua inayolenga kuongeza usafiri wa watalii na wasafiri wa...
Nmeanza biashara ndogo ya kutengeneza CLEANING PRODUCTS mwenyewe. Natengenaza bidhaa kama sabuni ya maji,jiki,na dawa ya tiles na sink n.k
Changamoto yangu kubwa kwa sasa ni kupata wateja na...
Wadau naomba msaada,nataka kusajiri kampuni inayotoa huduma zaidi ya moja katika uhandisi,yani BIOMEDICAL,ELECTRONICS,TELECOMMUNICATION NA IT Engineering,lakini mfumo wa BRELA,unaruhusu huduma ya...
Needs distributor tunauza na kusambaza Maziwa ya aina yote kampuni ya Brookside, Biskuti aina zote za kampuni ya Sunvet pamoja na Sabuni za kuogea Zuri..
Ofisi ipo dar es salaam sinza mori kwa...
Wakuu kwema.? Anayefahamu biashara hii ya kuuza maji naomba anaifahamishe machache haya:
Gharama za ununuzi wa machine (mfumo mzima) wa kuchuja maji.
Gharama za ufungaji wa machine hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.