Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 663
- 608
Salaam kwenu wakuu. Msaada wenu naomba mniambie Brand gani nzuri ya godoro na vipi kuhusu hii brand ya Gold sun na Breez,aliyewah kutumia alete ushuhuda
Kama unataka godoro ambalo halibonyei Tanfoam ni nzuri
LipoKuna Godoro Kweli Lisilo Bonyea..??
Kwani unatokea kijiji gani mkuu...🤔Kuna Godoro Kweli Lisilo Bonyea..??
Lipo
Kwani unatokea kijiji gani mkuu...🤔
Mimi godoro linalobonyea linaniumiza mgongo.Kama Halibonyei Hilo Sio Godoro Ni Mbao....Natokea Tarakea Mkuu..
Ohhhhh.....Kama Halibonyei Hilo Sio Godoro Ni Mbao....Natokea Tarakea Mkuu..
Density ipi?Magodoro dodoma na Yale ya arusha kiboko