Biashara ya mtumba

Biashara ya mtumba

bilchaser06

New Member
Joined
Sep 28, 2026
Posts
3
Reaction score
1
Habari,wakubwa
Nataka kufanya biashara ya nguo za mtumba, naomba ushauri kuhusu biashara hiyo lakini pia vitu gani vya kuzingatia wakati wa kuchagua balo lenye nguo zenye ubora. Asanteni🙏
 
Back
Top Bottom