Mgogoro wa Mashariki ya Kati umeifanya dunia kuendelea kuonja joto la jiwe, baada ya bei ya mafuta ghafi aina ya Brent kuendelea kuwa juu tangu Agosti, kutoka wastani wa dola 91 kwa pipa mwezi huo...
Biashara ya mayai ni mojawapo ya fursa za kujipatia kipato nchini Tanzania. Hata hivyo, mafanikio yake yanategemea uelewa wa soko, usimamizi wa fedha na uwezo wa kudhibiti gharama.
MFANO WA MTaji...
Biashara ya vinywaji kwa jumla inaweza kuwa chanzo kizuri cha mapato, lakini mafanikio yake hayategemei kuwa na mtaji pekee. Yanahitaji uelewa wa soko, usimamizi mzuri wa fedha, mahusiano imara na...
Kuna changamoto upande wa NMB Bank, nimekumbana na changamoto ambayo hadi sasa haijapatiwa suluhisho. Juzikati nilituma fedha kwenda kwenye akaunti nyingine, zikaonekana zimekatwa kwenye akaunti...
Mnamo mwaka 2016, nilinunua mtambo kutoka kwa mtu aliyekuwa akiishi Arusha, huku mimi nikiishi Mbeya. Mtambo huo ulikuwa na thamani isiyozidi Sh500,000. Baada ya kuupokea, nililipa fedha...
Kuwa fundi wa incubator siyo kujua kubadilisha spare part iliyoharibika kwenye incubator iliyokwisha tengenezwa.
Fundi mzuri anapaswa kuelewa mfumo mzima wa incubator, kutambua tatizo, kujua...
Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya bakery wakiamini kwamba kutengeneza mikate, keki, maandazi na bidhaa nyingine nzuri pekee kunatosha kufanikiwa. Ukweli ni kwamba unaweza kuwa na bidhaa...
Naomba kufikisha hoja yangu kwa mamlaka husika. Niliomba leseni ya biashara katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu. Cha ajabu, nilitumiwa control number nikamtumia kijana wangu wa...
Mkuu wa Wilaya ya Temeke na Mkurugenzi wa Halmashauri wanachokifanya si sahihi. Wameandaa meza kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na wanaziuza kwa shilingi 200,000 kila moja. Inadaiwa kuwa meza...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo, Oktoba 6, 2026, kuelekea Uingereza kwa ziara ya kikazi ya siku tano, ambapo atafungua Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza...
Jarida la Forbes limeripoti kuwa Elon Musk ameendelea kushikilia nafasi ya mtu tajiri zaidi duniani baada ya utajiri wake kufikisha tena zaidi ya dola trilioni moja za Marekani, kufuatia kupanda...
Naomba kupaza sauti kuhusu suala linalotukabili baadhi ya wachimbaji walioshiriki katika mchakato wa safari ya Canada kupitia Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA)...
Kama wewe ni Content Creator, TikToker, YouTuber, Graphic Designer, Social Media Manager au mfanyabiashara, video zako si burudani tu—ni sehemu ya brand yako, mauzo yako na namna watu...
Habari za wakati huu Wana panels,
Naombeni ushauri juu hizi ya photocopy mashine aina ya Canon ir 2520, 2525, 2530 na 3225. ipi ni Bora na imara kati hizo? Ninampango wa kununua .
Unaweza kuwa na mtaji, sehemu nzuri ya biashara na wateja wengi, lakini kutokamilisha taratibu zinazohitajika kunaweza kuiletea biashara yako usumbufu usio wa lazima.
Kabla na wakati wa kuendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.