Kuibuka kwa vikundi vya uombolezaji, je ni ubunifu ajira au ufinyu wa fikra? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuibuka kwa vikundi vya uombolezaji, je ni ubunifu ajira au ufinyu wa fikra?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Bujibuji, Apr 27, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Kila kukicha vikundi vya kukodi kwenda kuomboleza misibani vimekuwa vikiongezeka kwa kasi jijini Dar es Salaam. Je huu ni ubunifu wa ajira au ni ufinyu wa fikra?
   
 2. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni Ubunifu wa ajira, wameona kuwa baadhi ya watu wanahitaji huduma LILIWA.......so ukizingatia siku hizi watu wako busy kiasi, unaweza kukosa watu wa kuhudhuria misiba, sasa nadhani wana soko kwa bidhaa yao hii, Siamini kama ni ufinyu wa fikra...........Jaribu kulitazama na jicho chanya........
   
 3. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,892
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  yote sawa A NA B
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ni ubunifu tulichelewa Kuanza; Nilitembelea Botswana miaka ya 90 walishaanza huko kuwa na hiyo ajira
   
 5. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  wameiga kenya hiyo kwa waluo wa kenya ni common!!!
   
 6. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni Entrepreneurship Spirit mtu wangu wala siyo kutafuta ajira! Watu wanaoona opportunity hao!
   
Loading...