Bei za nyumba M/Nyamala, Ilala na Temeke Chan'gome | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei za nyumba M/Nyamala, Ilala na Temeke Chan'gome

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by profkobayashi, Apr 23, 2011.

 1. p

  profkobayashi JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna mtu anauza nyumba M/Nyamala karibu na hospitali

  mimi nauliza, hivi nyumba eneo lile zinafika milioni 250?

  Ni sawa au ndogo au kubwa?

  iko barabarani nyumba na kuna duka...

  Btw

  Ilala wanasema is the next Kariakoo..je bei zake zinaendaje?

  Changombe uhindini je vipi? Kuna ghorofa jipya la ma bohora pale nadhani ni eneo zuri karibu na kwa Majjid...ila sina hakika kama kuna nyumba za kuuza pale
   
 2. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mnh wenzio tunajichanga kutafuta kodi za pango.....bei za kununua nyumba tena?? Labda waulize mafisadi.............
   
 3. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kwa ilala 250 M ndo bei yake. Sijui huko M/Nyamala na Temeke

  Am sure Chang'ombe maeneo uliyoyataja ni untouchable kama wallet imekaa powa tafuta tu utapata. Matajiri wanasema "EVERYTHING IS FOR SELL ITS JUST THE MATTER OF THE PRICE"
   
Loading...