Nimepita leo asubuhi, jukwaa la kijani limeshaporomoshwa chini, na tingatinga linaendelea kubomoa!
Nakumbuka uwanja huu uliachwa kwa nafasi yake katika historia ya UHURU wa Tanganyika, ndio...
A self contained House is available at Mbezi Louis , Dar-Es-Salaam, about 2km from Morogoro road
It consists of 2 Bedrooms and 1 master bed room,
Bathroom: 1
Kitchen:1
Store:1
Siting room and...
I have noted the coincidence of Senator Clinton's visit and the acquisition of Dowans plant by Symbion Power, the rather dirty wheeling and dealing saga dating back to the era of Richmonduli...
Mining and colonial practices in Tanzania - The return of Victorian era exploitation?
. The government has been described as not benefiting enough from the multinational mining activities in the...
Wadau naombeni uzoefu wenu kuhusu ufugaji wa samaki hasa kwa hapa dar es salaam. Je unaweza ukawa ni mradi unaolipa? Nasikia kwamba kuna aina ya ufugaji ambao unaendana na ufugaji wa kuku yaani...
Written by mwamba // 20/06/2011 // Habari // No comments
ISSA YUSSUF in Zanzibar,
SOME Members of the Zanzibar House of Representatives are demanding the Islands government to immediately start...
Ma great thinker wenzangu hivi hizi tetesi ya kwamba mkataba wa awali kati ya Tanesco na Symbions ulisainiwa mwaka jana mwezi wa 10 (October-2010). Jamani kuna ukweli wowote hapo juu ya hilo? Kama...
Uwezekano wa Ugiriki ku-default (kushindwa kulipa madeni yake) kwa hali ya sasa hivi unazidi kuwa mkubwa. Itakumbukwa kwamba wiki iliyopita S&P rating agent ili-dowgrade credit rating ya Ugiriki...
Tukipita ubungo tunaona kila mwenye nia ya kuwekeza kupitia Tanesco na serikali akijiwekea mitambo pale. Hii ilisababishwa na serikali yetu kufanya mikataba ya kitapeli ya kuvuna gasi kutoka...
Kwa anayefahamu naomba anijuze, kwani nategemea kufungua biashara huko mkoani siku chache zijazo. Ikiwa unahusika na hiyo biashara nitafute kwa 0719193149
While Canadians may think of ourselves as best known for owning the Olympic podium, among Africans we may actually be better known and not particularly liked for owning their natural...
I hold Honorable Omar Nundu, the current Minister of Transport in high esteem. He's a professional aviator and very much respected in the region. Nevertheless, this doesn't mean that I should...
jamani wapembuzi yakininifu nafikiri tittle yangu hapo juu yajieleza vizuri kabisa..
Hivi juzi dowans iliyohusisha kashfa kubwa ya mitambo mitumba,mikataba ovyo imeasiliwa na kampuni ya...
kuna wakati najiuliza hivi kuna msomaji kweli wa gazeti hili? na je hivi kuna mnunuzi kweli wa gazeti hili na je tangia chadema iwe tumaini la watanzania hivi limeahi kupata faida? naomba maoni...
Mgogoro wanukia NMB, NBC Boniface Meena
MGOGORO mkubwa wa wafanyakazi na manejimenti unafukuta chinichini katika benki mbili kubwa nchini NBC na NMB kuhusu mfumo wa malipo ambao wafanyakazi...
Kutokana na Mh. Raisi kulalamika kuwa ukosefu wa fedha kutoka kwa wahisani ndiyo kunakamisha maendeleo Africa, hii inadhiirisha kuwa viongozi wetu wa Afrika sasa hawana mbinu ya kutegemea...