Msaada: Wapi nitapata cd/dvd kwa bei ya jumla? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Wapi nitapata cd/dvd kwa bei ya jumla?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by tindikalikali, Jun 19, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Kwa anayefahamu naomba anijuze, kwani nategemea kufungua biashara huko mkoani siku chache zijazo. Ikiwa unahusika na hiyo biashara nitafute kwa 0719193149
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,249
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Kama Empty DV,CD za jumla nenda pale kongo kariakoo Sunrise,au pale polis Msimbazi opposite kama unaelekea shimoni sokoni kuna duka linaitwa city Computer! Hayo ndo maduka yenye bei nzuri
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu, nahitaji pia hzo empty. Lakini uhitaji mkubwa ni cd/dvd za picha, kuhusu cd nahitaji za kibongo.
   
 4. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  1:Mkuu, Je unata CD/DVD HAZIJAWA RECORDED AU UANATAKA AMBAZO ZIKO RECORDED?.
  PAMOJA NA HAYO NITAKUJIBU KWA PAMOJA KM IFUATAVYO;

  DVD-R/DVD+R EMPT (PRINTABLE & NON PRINTABLE) BEI YAKE NI TSH 290@ PC, HII NI BEI YA JUMLA.
  CD-R EMPT (PRINTABLE & NON PRINTABLE) BEI YAKE NI TSH 200@PC, HIINI BEI YA JUMLA

  KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0762490080
  KARIBU
   
 5. babalao

  babalao Forum Spammer

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wasiliana na jamaa yangu yuko kariakoo anaitwa Macheye anauza bidhaa hizo kwa jumla simu yake 0762490080
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  nahitaji recorded
   
 7. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  nashukuru, nitamcheki
   
Loading...