Muhimu sana kwa .jf entrepeners chekini hiyo aidia na changia kadri uwezavyo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhimu sana kwa .jf entrepeners chekini hiyo aidia na changia kadri uwezavyo.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Chasha Poultry Farm, Jun 20, 2011.

 1. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,282
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 280
  Inafanyiwa editing pls.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 0
  mtoa mada hebu rekebisha heading ya topic yako kwanza

  inaishusha credibility ya topic , jf entrepeners ni nini?
   
 3. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,350
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  wazo zuri,tafadhali hakiki ulichokiandika ili kilete maana nzuri na uwelewa.ukishindwa ipitishe jukwaa la lugha watakuwekea mtiririko mzuri wa mawazo yako.
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 0
  duh. , i reserve my comment and opinions
   
 5. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,282
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 280
  Mtiririko upi huo? Labda wewe usaidie kufanya hivyo.
   
 6. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,638
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  Big up ni wazo zuri tatizo sina kampuni yoyote tunge organize tuanzie wapi!
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,749
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  halafu asilimit michango, wengine sio entrepreneurs ila tunaweza toa mawazo mazuri,
   
 8. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,933
  Likes Received: 1,743
  Trophy Points: 280
  Umeona eeh??

  Hivi kwa nini mtu hawezi kujipa muda wa kusahihisha makosa ya uandishi? Yeye anakimbilia ku-post tu!!? Shame on you guy! Mara "Members" iandikwe "Membars" cha wapi hicho? Halafu kesho na kesho kutwa eti unamcheka Mama Hawa Ghasia!!
   
Loading...