Richmond kuwa DOWANS ni kosa kubwa sana ila DOWANS kuwa Symbion ni sawa kabisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Richmond kuwa DOWANS ni kosa kubwa sana ila DOWANS kuwa Symbion ni sawa kabisa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mazee, Jun 19, 2011.

 1. Mazee

  Mazee Senior Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 6, 2007
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani wapembuzi yakininifu nafikiri tittle yangu hapo juu yajieleza vizuri kabisa..

  Hivi juzi dowans iliyohusisha kashfa kubwa ya mitambo mitumba,mikataba ovyo imeasiliwa na kampuni ya kimarekani inayoojiita SYMBION mitambo ni ile ile ya richmond lakini majukwaa ya siasa yote kimya na sasa hadi madam secretary of state H. Clinton amekuja kuipa promo

  Ina maana the americans do control our politics hapa kwetu to this level
  Maana baada ya hapo si ccm wala si CDM waliojaribu to utter a word abt this....

  Naomba wadau mnieleweshe labda am missing some of the issues...
   
 2. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye kampuni yupo angani anaendele kupiga business leo yupo Malaysia anazidi kutengeneza michongo!
   
 3. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  ukiona hivyo cdm wanafanya uchunguzi then watakuja na hoja nzito uchunguzi ni muhimu sana kwa hili aisee manake ni suala zito sana....nasikia mkataka wa awali ulisainiwa mwaka jana mwezi wa 10....
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu ... hapa kilichotokea ni acquisition of power plants ...... hii ni tofauti na dowans walivyorithi mkataba wa kampuni ya kitapeli ya richmond ..... symbion wamekuja kivyao na kununua mitambo ya dowans hivyo watazalisha umeme na kuingia upya mikataba na tanesco

  hata wewe kama ungekuwa na uwezo ungeweza kununua ile mitambo lakini umechelewa

  kilichokuwa kinapigiwa kelele siyo mitambo ila ni mikataba mibovu
   
 5. Mazee

  Mazee Senior Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 6, 2007
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama ulifuatilia vizuri kitu kingine ni kuwa ile mitambo ni mitumba pia ofcoz kitu ambacho pia kilikwamisha acqusition by the gov of taanzania...
  Je kwa hii scenario hii kitu inakuwaje....
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,117
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280

  Sawa, but kwa maoni yangu kama sarakasi ndio hizi, basi ni bora tu mitambo ingenunuluiwa kipindi kile kile ilivyokua ya Richmond.
  Kwa sababu tukiweka siasa pembeni, Tumeikwepa weeeee, but mwisho wa siku ndio hii tunayo. Na pengine kwa hela tunazolipa kama tozo imeshafikia hata hela ambayao tungenunulia hii mitambo.
  Unakataa kununua nyumba iwe yako yoteyote kwa million 5 mwaka 2008 halafu mpaka leo nyumba hiyohiyo ushailipia kodi ya Million 6 na bado hakuna matumaini kama itafikia kipindi huitaji hiyo nyumba, huu nu ukichaa.
   
 7. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hapa unachanganya mambo, Richmond iliingia mkataba ulioleta shida wa kifisadi na kisha Dowans walirithi mkataba na mitambo hapo ndipo ilipokuwa balaa, Symbion walichofanya ni kununua mitambo sasa usitarajie kuwepo sakata kama la awali, tunachotaka sasa kufahamu ni mkataba wa jinsi gani wameingia na serikali/tanesco kama niwa kifisadi basi utasikia tu mambo ya kiibuliwa
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Kama ni hivyo kwanini mlipiga kelele Rashid na Zitto waliposhauri hiyo mitambo inunuliwe na Tanesco? Sasa Tanesco wameikosa na Dowans wanawalipa na Symbion wanainunuwa. Uzuri ni kwamba nimesikia tetesi kuwa Symbion wanalipa na lile deni la Dowans on condition Tanesco wakubali kununua umeme wao. "Damned if you do Damned if you don't"
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  go to hell

  usiwe mbishani tuu pasipo kutumia logic, tanesco wameshindwa kuendesha hydro power plants na thermo power plants za miaka ya 1947 leo hii unataka uwape gas turbines za kimarekani tena hizi ni kwa ajili ya emergency plan

  after all tanesco wanapata wapi pesa za kununua mitambo kama si kutoka kwenye government coffers ambapo itabidi serikali iongeze kodi kwenye bidhaa kadhaa ili ku recover pesa hizo na mzigo unaelekea direct kwa mwananchi


  tanesco is not a credible public institution together it is a failed public institution like TPDC and NASACO

  we have already created our own monster which is TANESCO
   
 10. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  Uchakachuaji mbele kwa mbele conditions walizopewa zitawatokea puani
   
Loading...