Symbion Power and Senator Clintons visit to Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Symbion Power and Senator Clintons visit to Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by DoubleOSeven, Jun 21, 2011.

 1. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  I have noted the coincidence of Senator Clinton's visit and the acquisition of Dowans plant by Symbion Power, the rather dirty wheeling and dealing saga dating back to the era of Richmonduli notwithstanding.

  Right now it seems as if Dowans' ills have already washed off, thanks to the arrival of the famous US Senator and Secretary of State into the scene. If correctly so, why did the US Government take to the helm of cleansing that dirt? Who got cleansed and as such why?

  If at some juncture in the future Tanzania becomes home to some American military base then the obvious dot connections would surely point to the same culprits we have suspected all along? Equally astonishing, it was also bad taste for Tanzania to beg Americans for a big ship to tackle Somali pirates. What became of our (the land of Mwalimu) foreign policy?
   
 2. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wakati wa mgogoro wa Libya ulipoanza, huyu mama alisema kwamba'Ghaddafi must go' na wala siyo kusuluhisha. Utawala huu wa huyu mama naona unaudikteta mkubwa kuliko utawala wowote hapo kwao. Jiulize, mitambo inamigogoro, wewe mtu mkubwa kabisa katika serikali unaitetea, huu ni ubabe kwamba watanifanya nini. Na naona kweli huyu mama amekuwa mbabe kweli. Lakini yote hayo ni kwa sababu ya uzembe wetu katika nchi
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Richmond (kampuni fake) lakini imeweza kuleta mitambo safi kabisa kuzalisha umeme Tanzania - lakini wanasiasa wa majitaka (Mwakyembe and Sitta) wakatumia fursa hiyo kujipatia umaarufu badala ya nafuu kwa wananchi

  Richmond walipoona wanasiasa wamekuwa hawashikiki kwa umaarufu badala ya unafuu wakafanya biashara na Doawns wakauza mitambo pamoja na ku-take over mikataba yao ya kuzalisha umeme...kosa la Doawns si kuzalisha umeme wa nafuu bali owners wake ni waarabu na waislam, wale champions wa ukatoliki Tanzania walipiga kelele hadi mapofu yanawatoka midomoni fuatilia makala za mwanakijiji JF, Mwakyembe, Sitta , Padri Slaa na wakala wenziwe....

  Doawns ni mfanyabiashara akauza mitambo kwa wazungu ( si waislam), symbion kutoka Amerika anakoishi Mwanakijiji na wanasiasa wanategemea political power huko sasa wako kimya nani atagombana na Amerika?? siyo Padri Slaa siyo mwanakijiji?? mitambo ni ile ile ya richmomd, na doawns...

  Bei ya kuuzia umeme kutoka kwa symbion ni kubwa kuliko za doawns..tatizo hapa si unafuu kwa wananchi ila ni nani anauza hiyo bidhaa...
   
 4. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,496
  Likes Received: 2,742
  Trophy Points: 280

  kudadadeki.......................................!!!!!!!!!!!
   
 5. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ... bad taste!
   
Loading...