Naombeni uzoefu wenu kuhusu fugaji wa samaki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni uzoefu wenu kuhusu fugaji wa samaki

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by jinalako, Jun 21, 2011.

 1. j

  jinalako Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau naombeni uzoefu wenu kuhusu ufugaji wa samaki hasa kwa hapa dar es salaam. Je unaweza ukawa ni mradi unaolipa? Nasikia kwamba kuna aina ya ufugaji ambao unaendana na ufugaji wa kuku yaani banda la kuku linakuwa juu ya bwawa la samaki. any ideas?
   
Loading...