Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

je ungependa kutengeneza pesa online wakati ukiwa unaperuzi internet?? ni bure na rahisi mno -no credit card needed -no bank account details needed bofya hapa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji mawasiliano na watengenezaji / viwanda au waingizaji wa nywele bandia hapa nchini; Rasta, Weave na hair extensions yeyote aliye nazo aua anayezifahamu naomaba naijulishe tafadhali
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Samahanini wana jf kuna mtu kanitumia hii link hapa kuna mtu alishai-visit anisaidie kama ina ukweli wowote? News Daily 7 - Work at home mum makes $10,397/month working part-time from home...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jumatano njema iwe kwenu wanajf kuna nyumba inauzwa arusha mjini eneo la matejoo. mita 300 kutoka barabara ya Arusha to Moshi. Nyumba ina pande mbili. upande wa kwanza una vyumba (4)single. upande...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hodi jamvini Wanajamvi mimi nina kitu kinanitatiza,kuna kitu huwa nasikia kuwa kuna miezi fulani hasa ya mwanzo wa mwaka biashara aina mbalimbali mfano maduka huwa ngumu kwa upande wa mauzo,kuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wamiliki wa magari nyumba na mali zingine sasa katieni bima shirika la bima la taifa kwani linafanya vizuri sana sasa madai yanalipwa ndani ya siku 20. Achaneni na vikampuni vidogovidogo mtalizwa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
leo katika sherehe za mei mosi nimeshuhudia mfanyakazi wa Tanesko ambaye ni mwanamama akipewa tuzo na rais baada ya kuteuliwa na TUCTA kuwa mmoja wa wachapa kazi bora nchini. Hivi ni sahihi kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Go to this link for more info 1997 Subaru Forester For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified or call 0782568975
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg zangu speed ya airtel ikizidi kuwa ndogo na gharama zake za internet zikizidi kupanda kwa wa tanzania, WAKENYA (airtel kenya) wanaendelea kufurahia speed kubwa na gharama nafuu za internet...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wakuu nilikua naomba msaada na wapi auditing company zilipo na contacts zao, asante
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kiwanja kinauzwa ,ukubwa ni 40 mx 25 m , kipo eneo zuri ,Wazo hill ,Madale , umeme ,maji vipo karibu , kwa serious buyer apige simu namba 0765519031
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hiki ni kiwanja kilichopo maeneo ya Misugusugu - KIBAHA upande wa kushoto kama unaelekea DSM. umbali:- ni kilometa 1 toka morogoro road ukubwa:- ni ekari 2 (na inazidi kidogo) hati/offer: hakina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu naomba mnisaidie majukumu ya hawa watu wawili juu ya wafanyakazi na mwenye kampuni/firm fulani. Nimeileta hii maada kwa kuwa kila kunapotokea kuna mgomo kampuni fulani utakuta/kusikia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The government has been urged to urgently address the plight of the millions of Tanzanians who have been hit hard by biting inflation reflected in rising prices of basic foodstuffs, water and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina Fremu ambayo atakuwapo mdogo wangu fundi mwanafunzi ambaye bado hajawa mtaalamu hasa na kupata ozoefu baada ya kumaliza kusoma NATAFUTA FUNDI MWENYE UZOEFU ILI TUPATANE AKAE KWENYE FREMU...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hizi dhana mbili za inflation(mfumuko wa bei/kupanda kwa gharama za maisha (kutokana na ongezeko la fedha)) na deflation(punguzo la jumla ya fedha zitumiwazo ili kudhibiti bei) zimekuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kujua kama kuna mtu anaijua website, inayoshughulika na exporting light duty construction equipment kutoka Japan.Nazungumzia vifaa kama double roller double drum, asaphalt cutter...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau hali kwa sasa inatisha sana, Nimelazimika kuacha kunywa bia, soda na juyce kutokana na bei zake kupanda ghafla kabla hata mshahara haujabadilika. Hata maji inabidi nichemshe haya yakawaida...
1 Reactions
0 Replies
905 Views
salam wadau,mtandao gani kwa tanzania internet yake ni nafuu na huduma iko vizuri?hii yote inatokana na airtel kutukatili bundle yetu ya 400 MB kwa 2500.asante
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani mwenzenu, nimepatikana wiki hii. Mchele jamani, ukitoa shilingi elfu kumi unapata kilo tatu tuu!!!! Sasa hivi kilo moja sh 2700 hadi 3000!!!!!! .....nchii imefikaje mahali hapa...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…