Mfanyakazi wa TANESCO katunukiwa tuzo ya mfanyakazi bora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfanyakazi wa TANESCO katunukiwa tuzo ya mfanyakazi bora

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by meningitis, May 1, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,412
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  leo katika sherehe za mei mosi nimeshuhudia mfanyakazi wa Tanesko ambaye ni mwanamama akipewa tuzo na rais baada ya kuteuliwa na TUCTA kuwa mmoja wa wachapa kazi bora nchini.
  Hivi ni sahihi kwa mfanyakazi kutoka taasisi kama hii kupata tuzo?
   
 2. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,311
  Likes Received: 1,580
  Trophy Points: 280
  Huwezi jua, labda ndie Switch Off Master!! Kama ndie anayeshughulikia ukataji umeme, then ana-deserve hiyo tuzo; Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Nadhani watakuwa wana maana yao bse kwenye tuzo kuna mashirika ilibidi yawe blacklisted kama TBS,TANESCO,DAWASCO mengine mnaweza ongezea
   
 4. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,764
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni sahihi!
   
 5. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,620
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ONLY IN TZ. vipi kuhusu wale wa TRC?
   
 6. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 757
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Vipi hakuna mfanyakazi yoyote kutoka Air Tanzania aliyepata tuzo ya ufanyakazi bora?
   
 7. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,412
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  ni sahihi kivipi?nini alichokifanya chenye manufaa kwa Tanesko na wananchi?
   
 8. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,412
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  thubutu!
   
 9. F

  Foundation JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,411
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Huwa siamini hizo Tuzo au Tuzo zozote zinazotolewa makazini. Nyingi ni za mizengwe
   
 10. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,600
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  halafu awe ni pilot au muhudumu ndani ya ndege.
   
 11. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,137
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  TAKUKURU nao vp hawastahili??
   
 12. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 16,780
  Likes Received: 2,976
  Trophy Points: 280
  Yeah,
  Alikua tayari kubeba na kuvumilia lawama zote pamoja Na manung'uniko ya watanzania kipindi cha mgao.

  Sometimes ilibidi azime tu Umeme bila kujali yeye mwenyewe amehifadhi nyama kwa friji, itaharibika!!
   
Loading...