Shirika la bima la taifa sasa linafanya vizuri sana

Mwangendage

Member
Jan 11, 2012
69
2
Wamiliki wa magari nyumba na mali zingine sasa katieni bima shirika la bima la taifa kwani linafanya vizuri sana sasa madai yanalipwa ndani ya siku 20. Achaneni na vikampuni vidogovidogo mtalizwa
 
Comprehensive gari sedan ya cc2000 ni shs ngapi?
 
Wamiliki wa magari nyumba na mali zingine sasa katieni bima shirika la bima la taifa kwani linafanya vizuri sana sasa madai yanalipwa ndani ya siku 20. Achaneni na vikampuni vidogovidogo mtalizwa
Declare kwanza kama una interest yoyote huko NIC au ni jitihada tu za kuufahamisha umma. Pili tupe vielelezo vya kufanya kwake vizuri, wengine matomaso sie hatuamini hadi tuone. Yote kwa yote thanks kwa taarifa
 
Back
Top Bottom