kipindi kigumu kibiashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kipindi kigumu kibiashara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kuku wa Kabanga, May 2, 2012.

 1. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  hodi jamvini
  Wanajamvi mimi nina kitu kinanitatiza,kuna kitu huwa nasikia kuwa kuna miezi fulani hasa ya mwanzo wa mwaka biashara aina mbalimbali mfano maduka huwa ngumu kwa upande wa mauzo,kuna ukweli katika hili,na kama ni hivyo,mwezi wa tano umekaaje kibiashara?
   
 2. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu Kamanga.
  Hilo unalolizungumza ni kweli on one perspective ya biashara ya 'hand to mouth' ambazo sisi waTZ wengi tunafanya, i mean small scale biz or local biz.
  Ishu nyingine, inachangiwa vile vile na uwezo wa kipesa wa waTZ wengi kuwa mdogo, kwa hiyo hata uwezo wao wa kuweka akiba ni mdogo. Kwa hiyo ukifika muda wa kupeleka watoto shule au kulipa kodi ya nyumba, hali inakuwa tete, na mambo mengi yanasimama.
  Lkn kwa wafanyabiashara wanao-deal na international biz, wao hawaathiliki kabisa na haya mambo yetu ya kiswahili.
   
Loading...